Kiukweli Vodacom ulikuwa ni mtandao nilioupenda sana toka mwaka 2005.. ila mm ilinibidi kuhama mwaka jana sababu ya upumbavu wa uongozi uliopo kwenye kampuni hio..
kwanza Vodacom mpaka sasa hawajaboresha ubora wa huduma za Internet vijijini.. mfano wenzao Tigo na Airtel wana huduma ya 3G mpaka maeneo ya vijijini..
vifurushi vyao vya internet vilikuwa vya kijinga, but now ni vya kipumbavu...
KAMA VODACOM HAWATAFANYA MABADILIKO YA HARAKA HAKIKA MPAKA KUFIKA TAR 20 FEB WATAPOTEZA 30% YA WATEJA WAO WA INTERNET!!!
WAKE UP VODAAA
R.I.P VODACOM.
Ashakum si matusi,sijawahi kuona kampuni ya kijinga kama vodacom.
Wezi na majambazi wakubwa nyie.
Mnakoelekea sasa ni kufa kabisa na muda si mrefu tutawaletea kampeni ya VODACOM DELETE FUTA KABISA.
airtel na tigo,jiandaeni kupokea wateja wapya watakao hama kutoka vodacom.
Vodacom mnahitaji kwenda shule kusomea biashara kwani mnaonekana hata vyeti vya la saba mmeforge na ili kuboresha biashara yenu ni bora kampuni nzima mkajifunze namna ya kufanya kazi na watu.
KULIKO UFANYE BIASHARA NA VODACOM,BORA UKAFANYE BIASHARA NA WAZOA TAKATAKA.
Tigo ipokee wateja wapya kutoka wapi wakati wamewaiga voda kutupunguzia vifurushi vya internet? Nao ni hovyo kabisa, internet yao ipo sawa na kutokuwepo.
hamia airtel yatosha babalao
airtel kwenda mitandao mingine masaa 24
Tsh 399= dk 5+50sms+15mb
Tsh 499= dk 10+300sms+75mb
Tsh 599= dk 15+350+100mb
Tsh 649= dk 17+459sms+125mb
Tsh 999= dk 25+1000sms+150mb
UJINGA WETU UNATUPONZA HAMIENI
HUKU....
AIRTEL YATOSHA
Wanachungulia kwa mbaliKwanini Vodacom hawatoi majibu hapa kwenye thread yao???
Kwanini Vodacom hawatoi majibu hapa kwenye thread yao???
Wanachungulia kwa mbali
hamia airtel yatosha babalao
airtel kwenda mitandao mingine masaa 24
tsh 399= dk 5+50sms+15mb
tsh 499= dk 10+300sms+75mb
tsh 599= dk 15+350+100mb
tsh 649= dk 17+459sms+125mb
tsh 999= dk 25+1000sms+150mb
hamia airtell.
***** zao voda ngoja nmalize hizi mb zao navunja laini yao rasmi
Airtel nao wamepandisha bei za vifurushi vyao, nafikiri huu ni mpango maalumu kwa hawa wenye maksmpuni ya simu
Pole sana mkuu, nilihangaika na vodacom nikieleza matatizo yao haya ya wizi lakini kuna kipindi watu walichukulia utani hapa jamvini, leo nina takribani miezi mitano toka kuwahama na haijatokea siku yeyote niliyojuta.
Wiki iliyopita wameifunga line yao baada ya kubakiza Tsh 4.12 takribani kwa miezi mitano.
Karibu Airtel.