Krama
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 293
- 78
Kiukweli Vodacom ulikuwa ni mtandao nilioupenda sana toka mwaka 2005.. ila mm ilinibidi kuhama mwaka jana sababu ya upumbavu wa uongozi uliopo kwenye kampuni hio..
kwanza Vodacom mpaka sasa hawajaboresha ubora wa huduma za Internet vijijini.. mfano wenzao Tigo na Airtel wana huduma ya 3G mpaka maeneo ya vijijini..
vifurushi vyao vya internet vilikuwa vya kijinga, but now ni vya kipumbavu...
KAMA VODACOM HAWATAFANYA MABADILIKO YA HARAKA HAKIKA MPAKA KUFIKA TAR 20 FEB WATAPOTEZA 30% YA WATEJA WAO WA INTERNET!!!
WAKE UP VODAAA