MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Hawawezi kuja huku, wakiweka vipromo vyao ni kelele dunia nzima itajua lakini kwenye wizi kimya kabisa
Tcra wamehongwa hawawezi kuongea kitu. Na huu ni mradi wa CCM kwaajili ya kampeni.
Cheki wanavyojifaragua kwenye mitandao ya kijamii badala ya kutoka maagizo
Mm voda naitumia kutunza hela zangu tu ila kwenye kujiunga akuna kitu kama icho koz wanaboaa nlikua natumia tigo naona nao wameanza na mb zao 8 ngoja nmalize mitian nihamie airtel tu ndio habar ya mujin
Hapa ukipost ka neno ka kuwapongeza tu unaona wanavyokajibu fasta lakini kwenye wizi lol!!! kweli wamekubuhu