Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Ushauri wangu wekeni kwenye menyu ya mpesa tuweze kununua bando moja kwa moja maana.inakuwa usumbufu ununue kisha ndio ujiunge huo ndio ushauri wangu!
 

Watumiaji wenzangu wa Vodacom ushauri wangu kwenu nawaomba kwenye hii mada yao tusichangie chochote make michango nimingi hatuoni majibu mnaonaje tusipo chngia chochote hadi pale watakapo anzisha nyingine ya maswali na majibu naona hii imelenga maswali tu bila majubu😕😕
 
Vda ni kero kwa wa tz hatuna jinsi ya kufanya but sasa ni mauza uza. Haya mnayo fanya kwa wa tz siyo. It seems mmelenga watu masikini wasitumie internet.
 
Vodacom ni janga la kitaifa sasa ndo nini kuzima huduma ya m pesa mida hii ya jioni mpaka sasa ni masaa 5 huduma ya M-PESA haiko hewani :what: yaani mmeniuzi kwani hayo matengenezo mnayoyafanya mmeshindwa kuyafanya usiku wa manane ambapo uhitaji wa huduma hii unakuwa sio mkubwa..halafu mkarudisha huduma asubuhi. Yaani nyie watu ni hopeless kabisa mkirudisha hiyo huduma nang'oa pesa zangu zote ni bora nikae nazo kuliko mnavyotutesa hivi...
 
Kwa upande wangu naliona tatizo katika Internet hasa Muda wa mchana lakini kwa usiku wa manane utaipenda. Niko Njombe
 
voda com wapo vizuri .siwatetei .ila huduma zao ninzuri.japokuwa upo wizi mdogo.ilaukiwafuata.kimakini hautaibiwa.mimi nipo voda com.sasa yapata miyaka kumi natano.bado sijaibiwa kwakiwango hicho.ilapale panapo kuwa.nashida zamawasiliano.kimtandao ndipo saliyo huenda kombo.tofauti yaotu,yawezekana usirudishiwe.fedha yako pale datazako hazito onekana kwa sababu zatofauti yamitambo ilakama mitambo inapo kuwa vizuri saliyo unarudishiwa data zako zikionekana.mimi nimeyahi kupoteza saliyo,ila nilipo ripoti.niliambiwa mitambo haijachukuwa data zangu hapo niliona kuwa kuna tatizo kimitambo,ilabaadae.walinipa saliyo.baada ya kuwaeleza kwakina huduma kwa wateja .voda com.:wink2:
 

Kweli wewe ni mteja mzuri maana hata nukta zilivyojazana hadi tunapata tabu jinsi ya kusoma. Vodacom kazi ni kwako kuhama au kubaki
 
badilishen kifurush Mb 8 ndio nn sasa vnginevyo sitakuwa mteja tena wa mtandao wenu
 

Mtandao ambao unalugha za kitapeli in business point of view bas voda ndo nambari moja.
1.mnasema dakika za bure wakati tunazilipia???
2.kila j3 napokea ujumbe tumia kuanzia shilling 1400 upewe wekend bure dakika..mmmmh mm minimum kwa wiki natumia 4000 lakin cjawah ona dakika za bure wekeend.
4. Igeni zantel kwa sh.500. Unapata dakika 20 mitandao yotee.. sms 500 .... mb 100. MPAKA BASI.
NYIE NA MB 8......Mmedanganywaaaaaaaaaaaa
 

Hawa jamaa sio mkuu...
Washatugeuza ATM..
Mafisadi kinoma yani!
 
Limitless (Internet bila kikomo) ya VODACOMMERCY
 

Attachments

  • 1429946595667.jpg
    40.6 KB · Views: 180

kuna uwezekano wa kutumia huduma ya internet ya voda nje ya Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…