Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)


Huu nao ni ugaidi
 
Hakuna huduma mbovu kama ya kununua umeme kupitia voda mpesa yaaani bora choo cha sokoni ni kisafi kuliko hii huduma.
Unanunua umeme saa 10 jioni wanakuletea token saa 6 usiku tena hapo umesha piga simu huduma kwa wateja mara 5 na vihudumu vyenyewe vya huduma kwa mteja ni vya hovyo kabisa sijui vimeokotwa wapi.
Mm kila siku napata shida ninapo nunua umeme lazima nipigishane kelele na hivi vibinti na vivulana.
Najiandaa kununua line ya tigo hivi nimechoka kusuguwana na vibinti.
 
Nimenunua kifurushi cha unlimited cha buku,kudownload hata robo ya movi keenye showbix haijatimia,aisee,vidacom ni washenzi sana ba huduma zenu mbovu sana
 
Natumia line ya voda imlad2 lkn voda cyo mtandao wakutumia voda inafaa kutumia2 kwa m-pesa sio kwa mawasiliano
 
vodacom hamjali matatizo ya wateja, Mimi naishi Pugu kajiungeni kwa muda Wa mwezi mmoja sasa strength ya mnara huku mmebalilisha from 3G to 2G hii imefanya wenyevmoderm za vodacom kutopata access ya internet.Nimepiga Simu customer care wananiambia niende vodashop sikuwaelewa kwani badala ya wao kutatua tatizo wananiingiza kwenye gharama nyingine.am on the way to leave them.
 
Siku voda watarekebisha mb 8.ndio siku niawarudia ila kwa sasa line ya Vodacom ni kama recever tu

Airtel 1000 unapata mb 300 !!dkk 30.mitandao yote
 
Swali. Hizi wireless modem he zijawekewaje security ili MTU mwingine anaetimia wireless device asiniibie?

Hii yangu naina haina usalama wowote
 
Mitandao yote yakibongo inatupeleka kibabe babe ngoja tuingushe CHICHIEMU na mitandao watafuata...
 
hakna mtandao unaonikera kama voda ila natumia kwa sabab npo vjijin ambako cna marafk wanaotumia mitandao mingne voda nikiweka vocha ya 1ooo nikachelewa kujiunga na cheka ndan ya sekunde 5o wanakata mwisho utakuta imebak 7oo hapo sijajiunga na hudum yeyote ile nikiongea na huduma kwa wateja hakna ninachosaidiwa zaid ya kudanganywa
 

Internet yenu haina uhakika,niko newala mtwara leo hii nimejiunga na bundle lakn hadi muda wake unaisha sijatumia hata bytes moja mtandao wenu kimeo na mlivyokuwa wababe hata hamturudishii gharama za usumbufu,mfano kutupa hata bundle ya ziada pale mnaporudi tena hewani hasa kwa upande huu wa internet
 
Nikimtumia mtu tafadhali nipigie, yeye anapokea ujumbe wa tafadhali nipigie ukiwa na namba tofauti na namba yangu. Mimi namba yangu ni 0765637XXX, je tatizo ni nini?
 
Nimelipa bill ya umeme jana, pesa imekatwa na sijapata namba za Luku? ! BO59YF571 na BO590U934.....nimepiga customer care hawana jibu. Tafadhali
 
Nimennua umeme leo siku ya 3 sijapewea units zangu. Nimeomba nirudishiwe pesa zangu wananijibu eti baada ya siku 7
 
Haya majanga. mimi nilinunua umeme tangu 30.04.2015 sikupata umeme. niliwapigia customer care majibu hayakuwa na utekelezaji. nikiwaambia warudishe pesa wanadai mpaka ipite wiki. majibu niliyokuwa napewa yanakera sana. mchana wa leo ndo nimerejeshewa pesa lakini imechinjwa
 
Hapa tandahimba mtwara nyie hamna internet ya uwezo wa 3G maana hatuwapati kabisaa, no. 0767404746
 

ni zaidi ya mwezi sasa line yangu haitumi sms..customer care walishindwa kutatua tatizo.
 
mtuwekee university promo ya wiki inaonekana bado hamjajipanga:what::what:
 
Vodacom wanatuibia sana,
mara nyingi ukiweka salio ili ujiunge utakuta mtandao unakujibu kuwa salio lako halitoshi kujiunga na huduma hii. Mfano juzi na jana nikuwa nikiweka tsh 1100 ili kujiunga data bila kikomo ya 1000 sasa wanakuambia salio halitoshi, hata ukiongeza sh.1300 ili upate data ya 1000 bado unaambiwa salio halitoshi. Hadi uweke sh1400 au zaidi ndio utaunganishwa data ya 1000, cha ajabu hiyo 400 inayobaki hutaiona tena, huu si wizi jamani?
 
Kumbe na airtel wanaajenda ile ile et nao hivi sasa 10mb kwa tsh1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…