waku boost
Member
- Sep 10, 2015
- 27
- 7
Salam wadau,
Hui mtandao wa Voda ni matapeli wakubwa sana,yaani unaweka vocha sasa hivi na kukatwa fasta.
ukiwapigia simu customer care wanakuambia uliwasha data,kwa Mimi ndiyo nawaaga rasmi na line navunja,naomba muwe macho na majambazi haya.
ogopa sana unapoambiwa uliwaasha data wakati unatumia nokia ya tochi

Ni hatari sana mkuu.
Hahahaha...duh sijui ila kusema kweli nataka niachane nao..wanazingua kweli aisee
ogopa sana unapoambiwa uliwaasha data wakati unatumia nokia ya tochi
Mkuu mi nakushauri utoe hiyo uanze kutumia tIGO kiongozi ukianza kutumia tIGO hutataka kuicha hata kidogo mkuu ni nzuri mno.
Jaribu uone mkuu.