Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Mie nimejiunga kifurushi cha wajanja night Ili niangalie mpira wa Man U, wamekata 500 na sijapata kifurushi cha MB 1 mpaka sasa, kwa comments hii naitumia kama ushahidi Ili customer care wakishindwa kutatua mtanisaidia 500 yangu ilirudi maana kuniingizia kifurushi saa 6 usiku wakati mpira utakuwa umeisha haina maana na nitakuwa nimelala,
 
voda ni kiboko kwa madharau aisee malalamiko yote haya ya wateja wamepiga kimyaaaa wanacheka tu, airtel baba lao
 
Daah mm ndo majanga kabisa, nmejiunga NMB mobile, basi kila nikifanya muamala nakatwa sh 100,
 
Mawakala Wa Huduma Ya M-pesa. Mimi Ni Mtumiaji Wa Huduma Hii Ya M-pesa Kufanya Malipo Wa Watenda Kazi Wangu Walitawanyika Maeneo Na Mikoa Tofauti..
Kero Naipata Pale Ninapohitaji Kuweka Fedha Ktk Akaunti Yangu Ili Nitume Kwingine.. Mabango Mengi Ya Wakala Wa M-pesa Yanayoonekana, Hakuna Huduma Hapo., Walishaacha muda mrefu.. Lakini Bango Bado Lipo, Na Linasababisha Usumbufu Kwa Wanaohitaji Huduma. Ushauri Kwa Vodacom:-
Wote Waliocha Kutoa Huduma Hiyo, Wafute Ama Kuondoa Mabango Yao.
 
Niko makambako nilienda voda shop mwezi wa pili kuomba til ya m pesa nilipeleka vielelezo vyote walivyo niambia mpaka sasa sijapata hiyo til na kila nikienda wananiambia subili tukupigia simu na kinacho niuma zaidi ni hela niliyokatia leseni ambayo mwaka unaisha na leseni inaisha muda wake til sijapata. Naomben msaada nifanyeje? Namba yangu ni 0757003302
 
Nimehamisha pesa kutoka mpesa kwenda bank ni week sasa pesa haijafika
 
Nimetuma hela kwa mpesa ni wiki sasa pesa haijafika na hakuna msaada wowote kutoka Vodacom, kesho natupa sim kadi yao.
 
Vyema zaidi kutokukata tamaa...komaa nao

Yaani niwashenzi mno, Luna kamdada kila ukipiga kanakwambia subiri halafu kanakuwekea wimbo was bongofleva wakati Mimi no motto was shehe
 
Nimekuwa mteja was voda miaka kumi salsa yatosha nayatafuta mabadiliko ya kweli
 
Maeneo ya uwanja wa ndege wa zamani hapa mbeya, maeneo ya NERO, MKWENZULU, MADINI, MAENDELEO, JAKARANDA mtandao wenu unasumbua sana! tofauti na mitandao mingine.
 
Nimetuma hela kwa mpesa ni wiki sasa pesa haijafika na hakuna msaada wowote kutoka Vodacom, kesho natupa sim kadi yao.

Usitupe hiyo SMI card. Nipe mimi na hela nitakupa
 
Usitupe hiyo SMI card. Nipe mimi na hela nitakupa

nimejiunga bando wa wiki baada ya hapo natupa line, kwanza wanyonyaji haiwezekani nilipe elfu tano kutuma laki hata mastacard hawako hivyo bora nimpatie pesa konda wa zuberi nimpe na buku ya soda
 
hii mitandao yote ni shida tu...labda hii mipya ya saiz ila voda na airtel na tigo ni kuna wizi sana, juzinilikuwa wakala wa tigopesa analalamika eti kuibiwa pesa na watu wa tigo..
 
Back
Top Bottom