Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Mie nimejiunga kifurushi cha wajanja night Ili niangalie mpira wa Man U, wamekata 500 na sijapata kifurushi cha MB 1 mpaka sasa, kwa comments hii naitumia kama ushahidi Ili customer care wakishindwa kutatua mtanisaidia 500 yangu ilirudi maana kuniingizia kifurushi saa 6 usiku wakati mpira utakuwa umeisha haina maana na nitakuwa nimelala,