david mwiniko
Senior Member
- Jul 25, 2015
- 107
- 40
Nimeweka bundle Ya mwezi leo mchana saa hizo eti imeisha after making a few local phone calls
Hamnipati tena
Voda wamezidi mb1
Kupiga simu huduma kwa wateja ni BURE mkuu, piga namba 100.
Vodacom mnataka kutengeneza kizazi cha watoto wasio wasomi kabisa inakuwaje mnaweka net ya usiku free wanafunzi wanakesha usiku kucha wanachat na movies badala ya kusoma! Please jadilini hilo upya
Kupiga simu huduma kwa wateja ni BURE mkuu, piga namba 100.