Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom wanachukulia faida ; baada ya kubaini serikali hipo; katika hekaheka za uchaguzi

kifurushi cha cheka *149*01 ni cha siku nzima masaa 24


cha siku nzima ; wanakata pesa kabla ya masaaa matatu; wanakutumia meseji kuwa kimekwisha



waziri mwenye zamana ; hii hujuma kwa watanzania sasa basi.

Wafukuzwe nchini
 
Nimeweka bundle Ya mwezi leo mchana saa hizo eti imeisha after making a few local phone calls
Hamnipati tena
 
Voda mnachanganya sana katika huduma zenu has a MPOWER mimi ninejiunga kitambo, lakin kila nikitaka kukopa mwisho naambiwa sh.5000/- wengine tunasikia kwenye matangazo mpaka laki na zaid wanapata,:iweje wengine tuishie 5000/- tu
 
Siku ya 15 leo toka nilipotaka transaction ya MPESA kwenda TRA iwe reversed hamna kitu. System ya TRA haijapokea hiyo pesa. Customer care nimepiga hadi nimechoka wanasema pesa inarudi baada ya siku 7 hamna kitu.
Vodacom Tanzania You are extremely inefficient, you guys do not care for your customers
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji kuwa wakala wa mpesa vp niende offic gani niende na shilling ngapi zina hitajika naomba msaada wadau!!
 
Vodacom mnataka kutengeneza kizazi cha watoto wasio wasomi kabisa inakuwaje mnaweka net ya usiku free wanafunzi wanakesha usiku kucha wanachat na movies badala ya kusoma! Please jadilini hilo upya
 
duuuuuuuuh acha tukomae na baba lao airtel VODA WAZURI LAKIN HIZI LIMIT ZAO MH vifurushi kwenda mitandao mingine majanga eti tsh 2000 dakika 29 wakat wenzenu wanagawanyisha kuna wengine mb hawatak wengine sms wekeni ivo IWE FREE SELECTION
:shock::shock:
 
Kupiga simu huduma kwa wateja ni BURE mkuu, piga namba 100.

shenzi kabisaaaaa nyie..., mmelewa kibur sasa..., mi nimepata sms eti nimefika mwisho wa kupiga huduma kwa wateja BURE,

yani muwe na tatizo nyie halafu mi nilipie.., so matatizo yenu mmeandikia business case..., kudadadeki zenu
 
Vodacom mnataka kutengeneza kizazi cha watoto wasio wasomi kabisa inakuwaje mnaweka net ya usiku free wanafunzi wanakesha usiku kucha wanachat na movies badala ya kusoma! Please jadilini hilo upya

Mh usiku ni bure au ni punguzo?
 
Kupiga simu huduma kwa wateja ni BURE mkuu, piga namba 100.

Ni heri muweke namba ya kulipia kuliko hii kimeo cha kufanyia matangazo!
Blal blal nyingi za aina ya bidhaa mnazouza-hivi hamtambui kama mteja anapopiga simu ana dharura ya kufanya hivyo na siyo kusikilizia matangazo!

 
Back
Top Bottom