Mtandao wa vodacom ni kichefu chefuchefu,,nimenunua Umeme tangu SAA kumi hadi muda huu token hawajanitumia wala Hela hawarudishi Kama wenzao tigo wanavyofanya ,hapa twalala Giza,, now sitonunua tena Huduma yoyote kwa voda, Vodacom Tanzania
Hakuna data function inayoweza kuiba salio la mteja bila kusetiwa kuiba, Tukubaliane tu kwa pamoja kwamba huo ni WIZI wa kimtandao. Kuna mpiga dili mmoja wa kitengo kimojawapo nyeti cha Vodacom kwamba makato hayo yalibuniwa na kigogo mmoja wa wizara inayohusika bila kuoa maelezo na matumizi yake haijulikani....hii ipo hata huku nilipo,usipozima data function lazima utaliwa tu,jifunze kuzima data kabla hujaweka salio..
Hi mtandao ni shida sana ukinitumia sms itaka inajirudia zaidi ya mara 60 huku ukikatwa Pesa hata Mimi nikikutumia sms ni hivyo hivyo nimeshariport zaidi ya mara Tatu hamna msaada wowote nafikiria kuwakimbia kwa sasaWewe kipozi hongera kwako,mimi mwenyeww ni mhanga wa mtandao wa voda arusha,hata juzi nimenunua umeme nikakaa giza masaa 24 bila umeme maana sikutumiwa japo hela ilishakatwa
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Nyie jamaa mbona kama majambaz hli swala la MB zenu mbona ujambazi huuNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
tuhamie wapi mana nachokiona owners wa hii mitandao wanakaa vikao vya kupanga bei za kuwanyonya watumiaji..thats why ukiangalia tigo mb 500 ni sh. 999 wakati voda mb 500 ni sh. 1000Mtandao Huu umezidi kwa unyonyaji na wizi. Vifurushi vyote wamepunguza air time na mb. Ukiacha hela kwenye cm huzikuti. Hili nalo ni jipu sugu. Nashuri tuwasusie