Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom network yenu inasumbua sana huku UDOM, upande wa data kupiga simu na message za kawaida.

Rekebisheni tatizo kabla hamjapoteza wateja.
 
...hii ipo hata huku nilipo,usipozima data function lazima utaliwa tu,jifunze kuzima data kabla hujaweka salio..
Hakuna data function inayoweza kuiba salio la mteja bila kusetiwa kuiba, Tukubaliane tu kwa pamoja kwamba huo ni WIZI wa kimtandao. Kuna mpiga dili mmoja wa kitengo kimojawapo nyeti cha Vodacom kwamba makato hayo yalibuniwa na kigogo mmoja wa wizara inayohusika bila kuoa maelezo na matumizi yake haijulikani.
 
Habari za muda wakuu..

Hawa vodacom naona wametuchoka wateja wao hasa mkoa wa Arusha, sijui kwingine. unampigia mtu simu ni either yeye hakusikii wewe unamsikia ama the opposite hapo hapo unaendelea kukatwa salio lako ama sekunde za kifurushi bila huruma.

Vodacom ni nini tatizo? Mbona network imekua mbaya namna hii ilifika kipindi tukadhani simu zetu ndio mbovu, lakini baada ya kufanya utafiti, kila mtu analalamikia huu mtandao.

Wateja wanawahama tafadhalini sana rekebisheni hili.
 
Wewe kipozi hongera kwako,mimi mwenyeww ni mhanga wa mtandao wa voda arusha,hata juzi nimenunua umeme nikakaa giza masaa 24 bila umeme maana sikutumiwa japo hela ilishakatwa
 
Wewe kipozi hongera kwako,mimi mwenyeww ni mhanga wa mtandao wa voda arusha,hata juzi nimenunua umeme nikakaa giza masaa 24 bila umeme maana sikutumiwa japo hela ilishakatwa
Hi mtandao ni shida sana ukinitumia sms itaka inajirudia zaidi ya mara 60 huku ukikatwa Pesa hata Mimi nikikutumia sms ni hivyo hivyo nimeshariport zaidi ya mara Tatu hamna msaada wowote nafikiria kuwakimbia kwa sasa
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania

Thanks hivi zile efd machine za TPF ni nyie ndiyo mna provide nerworl please?
 
Hi. I got my Blackberry reformatted.I have always been purchasing the Total Bis package. Since the reformation process I am failing to activate the Enterprise Activation app-despite downloading from the Blackberry website.Can you please guide me on this.
 
na mashaka na wataalamu waliopo voda.
sijui ni elimu gani mlonayo nyinyi jamaa.
yani kila siku mnalalamikiwa nyie tu,hivi hamuoni aibu au ndio wataalamu wenu ni wanafunzi wanaofanya field za kimtandao ?.
DELETE FUTA KABISA.
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Nyie jamaa mbona kama majambaz hli swala la MB zenu mbona ujambazi huu
 
Yan voda nimepoteza nao iman kabisa. Nilituma hela tangu mwaka jana mwezi wa kumi na mbili hazikwenda. Kila nikifuatilia naambiwa tatizo linashughulikiwa hiv kweli muda wote huo mnashughulikia? Mnajenga ghorofa au?
 
Mtandao Huu umezidi kwa unyonyaji na wizi. Vifurushi vyote wamepunguza air time na MB. Ukiacha hela kwenye simu huzikuti.

Hili nalo ni jipu sugu.

Nashuri tuwasusie.
 
Mtandao Huu umezidi kwa unyonyaji na wizi. Vifurushi vyote wamepunguza air time na mb. Ukiacha hela kwenye cm huzikuti. Hili nalo ni jipu sugu. Nashuri tuwasusie
tuhamie wapi mana nachokiona owners wa hii mitandao wanakaa vikao vya kupanga bei za kuwanyonya watumiaji..thats why ukiangalia tigo mb 500 ni sh. 999 wakati voda mb 500 ni sh. 1000
 
Back
Top Bottom