Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Me nina tatsizo la kukstiwa huduma ya University promotion, na nmesajiliwa lakini bado
 
Me nina tatizo la kukatiwa huduma ya University promotion, na nmesajiliwa lakini bado
 
Me nina tatizo la kukatiwa huduma ya University promotion, na nmesajiliwa lakini bado
 
hivi nyie voda hamjui huku UDOM watumiaji wa INTERNET ni wengi na net yenu iko slow sana yani hadi inaboa sanaa. hebu fanyeni kuongeza mitambo huku hasa COED na NGONGONA.
 
hivi nyie voda hamjui huku UDOM watumiaji wa INTERNET ni wengi na net yenu iko slow sana yani hadi inaboa sanaa. hebu fanyeni kuongeza mitambo huku hasa COED na NGONGONA.
Tuwie radhi kwa usumbufu, mafundi wetu wanaendelea kushughulikia suala hili. Tunaomba uvumilivu wenu.
 
Bundles zenu ukinunua kwa M-pesa zinasumbua sana na haziji kwa wakati. Mpesa nayo kwa ujumla wake ni tatizo na haitumainiki tena kwa sababu unaweza kuadhirika hivi hivi ukiwa safarini kama yaliyonikuta juzi kule Mbinga.
 
sitaki kusikia kuhusu voda tena nilikua nawapenda na huduma zenu but nulishangaa sana siku nimeibiwa simu na kuwahi kutoa taarifa ili mpesa ifungwe nikaambiwa imefungwa kesho yake maajabu nilikuta pesa zangu zote zimetolewa eti mwizi alipiga simu customer care akatajiwa password zangu inaniuma sana mpaka sasa
 
Daaaah nilikuwa nasikiaga Vodacom ni wezi ila leo yamenitokea yani customer care yao ukiwapigia ni wajinga tu
 
Daaaah nilikuwa nasikiaga Vodacom ni wezi ila leo yamenitokea yani customer care yao ukiwapigia ni wajinga tu
Vodacom ni mtandao wa kitapeli mno mkuu na customer care yao si msaada kabisa. Wanajua tutatumia tu huduma zao tutake tusitake coz huduma zao ni ibada bila hizo peponi hatufiki. Hawa jamaa wanatengeneza faida kwa njia za kinyonyaji sana na la ajabu wanachotoa kwa jamii ni kidogo mno. Mamlaka zinazowasimamia zenyewe zimelala tu, hapa wa kuchukua hatua ni sisi wateja kwa kususia huduma zao ikibidi ianzishwe hash tag kabisa.
 
Reactions: PNC
voda hawajawahi kutatua tatizo la laini yangu nilikuwa nikiweka buku ilinijiunge bando nikituma appliacation naletewa majibu kuwa salio halitoshi nakadili livyo kuwa nikituma salio lilikuwa likipungua nikiwapigia watoa huduma wanasema cm yako ni ya Data wakati ni techno 347 ukawa ndio mchezo huo kwa takribani wiki tatu mfulizo bila ya ufumbuzi nikaamua kubwaga manyanga Voda kwangu mkwe
 
Kaka nimejitahd kutumia voda lakini nmeshindwa sababu ya ubabaishaji,
Kama nikiweka salio ikapita dakika kumi sijatumia (kujiunga na kifurushi, bas hilo salio halifai tena maana lishapungua vya kutosha,wahudumu nao ukiwauliza hawana majibu,voda mnakera
 
Mumeanza kuiba kwenye vifurushi vya chuo nyie. Badala ya kupewa Gb1 mnatoa 0Gb na nimewapigia ndani ya dakika moja baada ya kuunga mnanambia nimezitumia mwenyewe, siwaelewi.
 
Voda ni tatizo Nina mashaka na ofa Yao ya double double nafikiri unachopewa sicho unachotumia muda c mrefu unaambiwa huna bundle
 
Hiyo 4G mbona Dodoma haipo? Mtwara je itaenda lini? Mtandao wenu unakula sana bando tofauti na huduma halisi
 
Kwa upande wa customer care VODACOM you are the best....keep it up. ..Hakuna kitu kikubwa na cha thamani kama kumsikiliza mteja aidha kwa simu ama anayekuja ofisini physically na baada ya hapo mkafuatilia kujua kama tatizo limekuwa solved ama la! Keep it up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…