bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Mimi ni wakala wa Mpesa nna ttzo linanisumbua nmepoteza till no yangu nimefatilia huu mwezi wa sita sasa hakuna msaada wowote mpka leo hii nazungushwa tu na wafanyakazi wenu tafadhari naomba msaada kwa hilo., ikumbukwe kuna pesa zangu katika Till hio na mm nme jiajiri nategemea kiasi flani kuendesha maisha yangu no zangu 0769031701