swali langu apo no 3181 mbona hamnisaidiiNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Hii thread yanu ina maana gan kma hamujibu maswi ya watejaHabari wateja VODACOM TANZANIA.
Tafadhali nipigie ni *149*69*Namba ya mteja#
Tafadhali niongezee hela ni *149*68*Namba ya mteja#
Ahsante kwa kuchagua VODACOM.
@MaishaNiMurua.
Ramadhani njema kwa WAISLAMU WOTE.
Tatizo langu nilinunua doble bundle katika Mpesa mara ya kwanza ikaniambie request feil nikakaa kama dk 5 hiv nikajaribu tena ikaniambia tena imefeil baada ya robo saa nikajaribu tena ikaniambia vile vile nikaamua kununua muda wamaongez wa kawaida nikajiunga baada ya nusu saa zinakuja sms 3 kwa mpigo nimejiunga doble bundle mara 3 mkanikata elfu 6000 nilivyo wapigie nikaambiwa nisubir ndio mpaka leo nasubirHii thread yanu ina maana gan kma hamujibu maswi ya wateja
Tulisha achana na hiki kitu voda, line zao zimebaki kupokea simu, vifurushi ni halotelVodacom rekebisheni vifurushi vyenu jamani. Yaani unakuta kwenye menu ya vifurushi kuna kifurushi cha Sh. 495 au Sh. 999, kwanini msiweke tu isomeke kama ni Sh. 500 au Sh. 1000 ikajulikana moja?
Mteja anakuja anatoa Sh. 500 halafu anapata kifurushi cha Sh. 495. Hiyo chenchi yake inapatkana wapi?
mkuu tatzo hawa halotel hawajafka nlipo but ukwel hawa voda ni wakutupwa.Tulisha achana na hiki kitu voda, line zao zimebaki kupokea simu, vifurushi ni halotel