Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Watakutoaje wakati hawakujui?
 
Mimi natumia cm lg inasaport 4G LTE na lain nilishabadilisha kitambo nikapewa 4G HAPA KASI TU lakni hiyo kasi inanikela kweli

Kwanza ukianza kutumia kifurushi chenye mb za kutosha spd huwa ipo lakini.zinavyozidi kupungua na kasi nayo inapungua kwa nn? Hii ni tofaut na mitandao mingine ambayo haipunguzi spd hata kama mb zinapungua

Ombi naomba hizo mita zenu mzilekebishe kwa nn ipungue spd ?
Ninaomba kama spd ya 4G ibaki ile ile cio kupungia lwa mb mnapunguza spd iache spd iende vile vile zikiisha mb c mteja atanunua tena?
Ni hayo tu
 
Nimedanganywa na muhudumu wa vodacom, kanipigia Simu, kaniambia : " wewe ni mtumiaji mzuri wa huduma za mpesa hivyo tunakuzawadia Tz sh..... tutakuwekea kwenye akaunti yako, unashilingi ngapi kwa sasa kwenye account yako ya mpesa? mara ya mwisho umefanya muamala wa tsh ngapi?" Hadi leo jiiii!!!!!!
 
Mimi lalamiko langu bila kumumunya maneno mana nikera sana kwanza una kuta nime weka vocha lamda mtu ame omba nimnunulie kifurushi nime chelewa tu dakika moja mna nitumia msg za kijinga na kula hela yangu mna dhani nina shimo la hela mkate kama mli nikopesha!

Hiyo tabia ina nikera sana
 
 
Jana tarehe 6.1.2017 tangu saa nane mchana hapakuwapo na mtandao kupitia Vodacom mpaka usiku.

Mpaka sasa Vodacom hawajatuomba RADHI sisi wateja wao.
 
Huenda tatizo lilikuwa kwako au maeneo yaliyokuwa yanakuzunguka,.
 
Jana tarehe 6.1.2017 tangu saa nane mchana hapakuwapo na mtandao kupitia Vodacom mpaka usiku. Mpaka sasa Vodacom hawajatuomba RADHI sisi wateja wao.
Warudishe vifurushi vyetu..naanza kuwachukia..your not leading any more.
 
Ni kweli hata kama uliweza kupiga simu ila data hazikuwaka kabisa
 
Tatizo lenyewe lilikuwa Jiji la Mwanza. Tangu saa nane mchana mpaka usiku hapakuwa na mtandao.Watuombe radhi.
 
Voda nawachukia mnatufull wateja wenu haiwezekani mkatuuzia mb 200 za msimu wa sikukuu kwa sh 1,000 maana uingiapo ktk mb 350 internet inakuwa haina kasi kama ukiwa ktk mb za msimu wa sikukuu.
 
Internet yenu inazingua
Maeno ya Mwanza
Hasa Kayenze na Sangabuye mkayafanyie kazi make kuna wafanyabiashara wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…