Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nimenunua ile ya 2gb kwa siku na ikakata baada ya kudownload only 500mb-700mb of data. kuna wizi hapa. heri wangesema nikinunua kifurush cha sh 2000/=

Napata mb 700 na si kusema 2GB. kuna wizi wa kiaina hapa.

Hakuna namna, wenyewe wameamua kuwafukuzeni [emoji53]
2b4514b52cabb868fdb655b0f34bf4d8.jpg

Screenshot_2017-01-24-18-41-21.png
Screenshot_2017-01-24-18-41-21.png

kutoka 2gb mpaka 1gb.
Mimi ambae ninasomea online na mategemeo yangu ni kuja kufungua kiwanda nitaweza kumaliza masomo yangu kweli? nitafungua kiwanda kweli?

Serikali ingevifuta vile vya rahisi vya 500, maana vile ndo vinatumika kuichafua serikali. wanajiunga vya 500, basi kutwa nzima kuichafua serikali sasa matokeo yake imekula na kwetu sisi wakimya.

Vodacom hamna kasi kubwa lakini mnamumungunya MB kuliko mitandao mingine alafu kwanini makato yenu ya M Pesa ni makubwa kupita kiasi???????

Vodacom hamjali wateja sisi kwetu Bukoba Buyango mmejenga mnara lakini huu mnara umetusumbua sana unapiga sim unakuwekea echoes mara nyinginyingi hata follow up hakuna
f866fd4cead0e1ba2c09af4f1bf9a314.jpg

Na hzo MB kweli zinasaidia nin na uchumi wa sasa ulivo mgumu bora kuamia kushoto

Habari Vodacom Tanzania , mie nimeitumia line yangu ya Vodacom tangu 2004 bahati mbaya huduma za Cheka ninazozipata kidogo gharama zake ni za juu yaani napata 1.5GB kwa wiki kwa 7,000 (ofcourse ni Cheka Business Bundle), sasa nilikuwa nauliza utaratibu wa kurudishwa kwenye cheka ya kawaida ili niwe nanunua vifurushi vya kawaida.

Nimekwenda ofisi ya Vodacom mkoa mmojawapo wameniambia line yangu ni postpaid wakati si kweli mie ni prepaid

VODACOM NI KERO KERO KERO KERO HUKU Lwangwa Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya Halmashauri ya Busokelo tumepiga simu Customer care mpaka tumechoka tatizo halitatuliwi yaani mtandao ukupigiwa simu shida
Ukipiga hazitoki kama mnaangalia matumizi kwa Minara hebu angalieni matumizi hili yalivyoshuka me binafsi imenilazimu kununua line ya Airtel na Halotel MWENDO MTUNDO na nyie endeleeni hvyohvyo kutokushughulikia tatizo.

Vodacom mnawatesa vijana mafreelancers wenu kwa kuwapunja kamisheni.
Freelancer wa miezi 4 mpk sasa et anapata Sh 10000 yaan kamisheni zinashuka kila mwezi wkt vijana wanafanyakazi.

Mkumbuke vijana laini wananunua lakn mtaan wanasajili buree.
Sahv ni bora na HALOTEL kuliko Vodacom na viongozi hawana mpango kabsa kushughulikia suala hili

Duuu!! Mm nimesha hamia huku hltel maana Vda siwaelewii kabisa unaweka 1000 hujafanya cchote imeisha

Nimepata habari kwamba karibuni Vodacom watauza hisa kupitia NBC, kuna ukweli wowote?

Voda hizi Mb zenu haziendani na pesa zetu yani nimenunua Mb 70 kwa Mia Tano nipo whatsapp kidogo wananiambia Mb 20 za bure zimeisha mara wananiambia zimebaki 39 kati ya sabini Mara kidogo Mb 13 nikazima simu kuwasha naambiwa Mb zako zimeisha kasema ukweli voda Mb zenu aziendani na Matumizi Nani anatulinda watumiaji.

Kampuni ya simu za kiganjani Vodacom Tanzania wamekuwa wabunifu kwa kuleta sokoni vifurushi vya aina mbalimbali ambavyo wateja tumekuwa tukivifurahia.

Tatizo lao ni kutupangia muda wa kumaliza kifurushi husika. Mfano mtu umejikakamua mwenyewe na hali ya ukata huu umeweka kifurushi cha Internet alimaarufu Bando au Mb cha 1000 saa mbili jioni baada ya kurupushani za mchana kutwa uangalie kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Kidijitali mara itakapo fika saa mbili ya usiku tena utapokea SMS " MUUGUZI mteja kifurushi chako cha Internet kimekwisha".
Mchana kutwa hukupata muda wa kutosha kuperuzi ufike nyumbani upumzike upeeuzi data zimezima Wakati huo huo Kifurushi cha Internet cha 500/= kinayeyuka kama theluji juani hivi tuwatafutie pesa ninyi Vodacom Tanzania tu kwa kununua Bando au mnataka sisi Watanzania wa hali ya Kati na Chini tusiingie huko kwenye mitandao ili tuendelee kupitwa na ulimwengu.
Kwakweli chonde chonde tunawaomba acheni mb, bando, data ziishe kwa matumizi siyo kutupokonywa jamani mbona hivyo. Hivi kila zinazobaki mwazipeleka wapi?
Mtandao tunaupenda una kasi ya kutosha lakini Tafadhali badilikeni tuoneeni huruma wateja wenu hali ni ngumu kuweni na utu.
Kifurushi cha Internet cha 1000 cha Ya kwako tu kilikuwa na MB 1000 baada ya kuona watu wengi hawamalizi mmepunguza hadi MB 800 tena kimyakimya bila taarifa, hivi haki ya mlaji / mteja iko wapi mbona mnafanya mambo kienyeji hivi.
Ombi langu kwenu Vodacom Tanzania acheni Vifurushi vyenu viishe kwa matumizi hata mtu akiweka cha 1000/= akakaa mwezi hajamaliza data zake ziacheni jamani ya nini kumpokonya, mbona mnaangalia faida yenu tu.

Kiukweli vodacom wanatakiwa qajirekebishw. Mi nilizowea kuweka bundle ya wiki kwa 1,999 na ilikuwa inatosha kuongea wiki nzima. Lkn cha ajabu hivi sasa natumia kwa siku moja. Hebu mtuhurumie.

Te
Kiukweli vodacom wanatakiwa qajirekebishw. Mi nilizowea kuweka bundle ya wiki kwa 1,999 na ilikuwa inatosha kuongea wiki nzima. Lkn cha ajabu hivi sasa natumia kwa siku moja. Hebu mtuhurumie.
Twafa jamani uchumi wenyewe mbovu huu tukimbilie wapi kila kona majanga mwee watusikie tafadhali.

Habarini za majukumu!?????

Kumekuwepo na changamoto za Kiuongozi kwa mawakala wa kusajili laini za Vodacom (Freelancers) katika jimbo la Ifakara na uongozi uliopo sasa kama ifutavyo:,

1. Mawakala hawapewi Tshirt kwa wakati hivyo vijana wengi wanavaa Tshirt zilizopauka na ukizingatia Tshirt izo ukizifua tuu mara moja ndo basi hauwezi kufua tena.
Lakn vijana wamelisema hilo lakn meneja aliopo (Mr Apiov) amekua bado ni mgumu wa kutatua changamoto iyo, hivyo kufanya vijana wengi sasahv kutoingia kazn kusajili laini na hatimaye connections zimeshuka. Wakati utaratibu uliotolewa na Meneja kanda Mr Mruta Hamisi ni kila baada ya wiki mbili wanatakiwa kupewa mpya.

2. KAMISHENI(MALIPO)
Vijana wanaingia mtaani kusajili laini,,,na wanasajili bureee na jua kali lote,,,lakn walipo ndo yamezidi kushuka na Meneja wa Jimbo wala hana mzigo nalo,,,hivyo imewafanya vijana kuhamia Mitandao mingine.
>Vodacom wanasema wanalipa kamisheni miezi 6 kwa kila laini inayosajiliwa,,,,lakn kumbe imekua Sio kweli. Maana wakala mwenye miezi 5 kazn, lakn mpk leo bado anapata Tsh 10,000.

3. KUWAIBIA MAWAKALA
Pia inasemekana kuna mchezo ndani ya uongozi ya kufanya malipo ya Freelancer badala ya kuingia kwa Freelancer, baadhi yanaingia kwa Viongozi na Freelancer kujikuta analipwa kiasi kidgo,,,wakati wanazunguka juani,,na wanasajili laini buree wanashinda na njaa,,kulala gesti,,kula alafu mwisho wa mwezi anapata Tsh. 20,000

3. SIMU ZA USAJILI
Kuna simu za kutumia kwny usajili ambazo Vodacom wametoa,,,,ili wapewe vijana kwa ajili ya kufanyia usajili "uliokamilika"" lakn simu izo zimekua za kibaguzi,,,,,,na sasa sijui viongozi wanataka kuziuza??? Wakati vijana hawana simu.
Hivi sasa kuna vijana kutokana na mwenendo usioridhisha wa uongozi wa Vodacom Jimbo la Ifakara Kilombero chini ya Meneja Apiov,,,,wameamua ""wanakutana tuu asubuh alafu wakitawanyika wanaenda zao tuu nyumbani.

4. KUTOTHAMINIWA
Vijana wanapotoa changamoto zao kwny Group la Vodacom Jimbo la Ifakara,,,,hazishughulikiwi,,,na wala haijulikani ni nani wa kushughulikia matatzo ya Freelancers,,,,,na hata meneja wa jimbo Mr Apiov ameshindwa kusimamia uongozi na lawama zote hizi zinaenda kwake,,,hivyo anaweza kuisababishia kampuni ya Vodacom mapato,,maana vijana wanahama wa usajili wanahama mtandao.

Hivyo wanaomba Vodacom makao makuu,,,,,kuja haraka kuzungumza na vijana kabla wote hawajahama.

Mr Mruta Hamisi meneja vodacom kanda ya kati,,,kama bado upo Vodacom,,maana kuna tetesi kuwa ,,kwa sasa haupo tena vodacom.
Lakn cha ajabu tetesi hata alipoulizwa meneja wa jimbo anasema hajui,,yaan mtu anaekufuatia kwa cheo na unaripoti kwake,,eti haujui,,jamani huu ni uongozi?????

VODACOM VIJANA WANALIA WAHINI MAPEMA VIJANA WAMEKUSUDIA KUHAMIA MITANDAO MINGNE.

BY Msimamizi wa MUNGU, wa kazi na haki duniani.

Back
Top Bottom