GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Habari,tutumie namba ya simu PM tafadhali.
Utapokea Tsh 14890 kabla ya 28.02.2017 kama faida ya kutumia M-Pesa. You will receive Tsh 14890 before 28.02.2017 as your benefit for using M-Pesa.
Alfu wanakuja wanasema wapiga dili wameishaTcra iko kwenye cyber crime tu. Wao wakishatoa leseni hawajali tena maana wanajua watapata kodi. Chukulia local channel,chukulia malalamiko ya makampuni hayo ya simu