Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Kwenye speed wala sina tatizo nao, maana hata mchana iko fresh. Na ndio mtandao nnaouamini, ila wamenitia hasara sana wa GB zangu kwa hizi siku walizozingua! Halaf wako kimyaa!!Voda n ikifika iyo saa sita speedi ya internet inaongezeka kwa kasi zaidi uku nilipo
Kuna - sijui niite ni "ujanja" - nadhani kwa kweli. Simu yangu ina laini 2 tu. Voda na Tigo. Niliweka internet ya wote wawili. Lakini hivi sasa upande wa Tigo siwezi kuaccess internet. Nahisi kuna kimchezo ka ku-hack simu za watu hapa. Kama ni kweli, mnaonaje nikiwashitaki kwa mamlaka ya mawasiliano?Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Jumanne asubuhi nliamka nkakuta mtandao voda umeandikwa emergence na sikuwa na mawasiliano kwa saa 24, jana (juma5) tena sikuwa na mawasiliano kwanzia mchana mpaka leo saa 12 asubuhi... Cha ajabu nlikuwa nmejiunga kifurushi internet cha wiki ambacho kinaisha ijumaa usiku, leo naambiwa kimeisha. Sasa me sielewi kifurushi kimeishia wapi?
Alafu wanataka data iwe inatumia ya voda tuHabari wana jukwaa?
Vodacom Tanzania wana application ya simu ya M-Pesa. BIG UP sana kwa hili maana katika dunia ya sasa ya digitali tunahitaji huduma muhimu kama hii iwe katika kiganja.
Ukakakasi unakuja kwenye jambo moja; app hii haifanyi kazi vizuri. Nimeinstall kwenye simu yangu ila haifanyi kazi kwa Wi-Fi inataka utumie mobile data. Ila hata ukitumia mobile data haifanyi kazi. Nimepitia review nyingi za watumiaji wa app hii wanalalamikia tatizo hilo. Sasa Vodacom Tanzania jaribuni kutatua hili tatizo kwa kurekebisha app yenu maana haina siri nyie ndio mnaongoza kwa wateja katika huduma hii ya kifedha.
Wassalam!View attachment 499661 View attachment 499662 View attachment 499662