ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,852
Ni week sasa mtandao mpaka unapanda mtini! Waseme kama wamezidiwamatajiri wataishi kama shetani
Ni wapuuzi sana kaka! Mtandao UPI upo vizuri kwenye internet? Niambie nitupe laini yao kapuniHii nimeishtukia zaidi ya mwezi sasa. Internet yao iko chini sana, mara nyingine inakata kabisa. Halafu wanatangaza nao wana internet ya 4G! Hata aibu hawana, sasa ukitumia voda ujue unatumia 1G
Au pia ni njama!! Mbona huko nyuma haikuwa hivyoshida. tena siyo vodacom tu naona sasa mitandao yote wanaelekea 2G Inaonesha ndiyo speed sahii kwa bongo

Mkuu bado unatumiaga voda?Kiukweli hawa vodacom mtandao wao wa internet unaboa sana! Tatizo ni mini?
Yaani hata hatupati uondo kamili.
Unaboa sana
Dogo si ulisema upo ulaya? Kweli bange mbayaKiukweli hawa vodacom mtandao wao wa internet unaboa sana! Tatizo ni mini?
Yaani hata hatupati uondo kamili.
Unaboa sana
Nimehamia tigo baada ya kuona voda wanazingua. Airtel niliachana nao kitambo. Hallotel huwa situmii kabisa. Kwa sasa naona tigo iko vizuri tuNi wapuuzi sana kaka! Mtandao UPI upo vizuri kwenye internet? Niambie nitupe laini yao kapuni
HUENDA RUNNING COST NI KUBWA SANA.Au pia ni njama!! Mbona huko nyuma haikuwa hivyo
Nimefiwa mkuu! Nimekuja juzi msibani. Sasa Nina aiku tano internet inazingua! Njoo unywe biaDogo si ulisema upo ulaya? Kweli bange mbaya
Watuambie tujue! Sio kukaa kimya!nkajua labda simu yangu imeanza kufa
Sasa hiyo wao wanafaidikaje? Nieleweshe kidogoWanafanya hivo ukishanunua mb nyingi
Sasa hiyo wao wanafaidikaje? Nieleweshe kidogoWanafanya hivo ukishanunua mb nyingi