Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Hii nimeishtukia zaidi ya mwezi sasa. Internet yao iko chini sana, mara nyingine inakata kabisa. Halafu wanatangaza nao wana internet ya 4G! Hata aibu hawana, sasa ukitumia voda ujue unatumia 1G
 
ni shida. tena siyo vodacom tu naona sasa mitandao yote wanaelekea 2G Inaonesha ndiyo speed sahii kwa bongo
 
Hii nimeishtukia zaidi ya mwezi sasa. Internet yao iko chini sana, mara nyingine inakata kabisa. Halafu wanatangaza nao wana internet ya 4G! Hata aibu hawana, sasa ukitumia voda ujue unatumia 1G
Ni wapuuzi sana kaka! Mtandao UPI upo vizuri kwenye internet? Niambie nitupe laini yao kapuni
 
Nimehamia tigo baada ya kuona voda wanazingua. Airtel niliachana nao kitambo. Hallotel huwa situmii kabisa. Kwa sasa naona tigo iko vizuri tu
 
Siyo voda tu, hata airtel kwa siku za karibuni speed ya internet imepungua mno!
 
Back
Top Bottom