Mimi ni mwez sasa. Nawaripoti TCRAMimi nilifanya muamala kupitia huduma ya lipa kwa mpesa , Mara mbili sijupata SMS na hela ilikatwa, nimepiga huduma kwa wateja naambiwa kuna tatizo LA mtandao, muamala nilifanya tangu tarehe 17 mwezi huu hadi Leo hii hela yangu sijarudishiwa. Vodacom ni kero sana. Hela yangu mnakaa nayo muda wote huo utafikiri mkirudisha mnarudisha na riba. Nimetokea kuwachukia sana. Zaidi ya wiki hela ipo hewani tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Voda wanaleta masihara na pesa za watu. Mwezi?, aisee itabidi tuwafungulie mashitaka sio bure.Mimi ni mwez sasa. Nawaripoti TCRA
Wajipange upyaNi aibu kubwa kwa mtandao mkongwe kama Vodacom katika huduma yake ya MPESA kutokuwepo na menu ya kumuwezesha mteja kurequest statement ya mwezi, miezi mitatu na miezi sita eti mpaka uende physically VODASHOP, This is ridiculous, yaani kwa karne hii kweli bado mmeshindwa kuwa wabunifu mkaweka hii huduma kwenye menu ya simu au la mmeshindwa kabisa tuwekeeni hiyo huduma kwenye website yenu. Watu wenu wa IT sijui wanafanya kazi gani??? La mmeshindwa igeni kwa wenzenu "tigo jihudumie" huduma bora kabisa iliyoko kwenye tigopesa.
Mimi ni mhasibu wa kikundi ambacho members hutuma michango yao...yaani members wakituma fee zao kupitia MPESA ni sheeeda, sometimes hata meseji haziji unakuta lumpsum, mpk uende vodashop kufuatilia statement ndo ujue nani walituma.....its bulsheet. INAKERA SANA.
Pili meseji inayokupa taarifa ya kiasi gani umetuma na balance gani imebaki haisemi kiasi gani mmekata kwa huduma husika kama wenzenu wa tigopesa wanavyofanya.
Tatu menu ya mpesa au sub menu zenu hazina option ya kurudi nyuma one step au kurudi menu kuu.....ukitaka kurudi nyuma mpk upige upya aidha *150*00* au ni kifurushi *149*01#....igeni wenzenu wa tigo ukishabofya *150*01# ukaingia kwenye submenu unaweza anza kurudi nyuma kwa kubofya 99.
Nimeripoti hili swala several times customer care...but hola...hamna utekelezaji....msitulazimishe tupige kampeni members wetu waache kutuma kwa mpesa.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongoza kuwa na watumiaji wengi sio kigezo cha kuwa na poor service kwa customers wake wafanyie kazi hiliNi sawa ujumbe umefika ila ujue voda M pesa ndio wanaongoza kwa watumiaji wengi
Ombi lako tumelipokea na asante kwa kutumia VodacomKuongoza kuwa na watumiaji wengi sio kigezo cha kuwa na poor service kwa customers wake wafanyie kazi hili
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji5][emoji5][emoji5]Ombi lako tumelipokea na asante kwa kutumia Vodacom
Natumai watarudi siku wakishafa kazi.Ombi lako tumelipokea na asante kwa kutumia Vodacom
Mitabdao ipo mingi ikizingua hamia kwingineko huzuiwi wacha kulalamika umefunga nao ndoa ya maishaKwa kwel huu mtandao wa vodacom kuna muda unakera sana haiwezekan kwa muda wa siku 2 intaneti inakuwa ovyo kabisaa
Mnajua wengine kazi zetu zinategemea internet sasa mnapodhoofisha huduma yenu mnajua ni hasara kiasi gan tunayopata?
Jana nilinunua kifurushi cha masaa 24 ambacho leo ndio kitaisha lakin hadi kinaelekea kuisha nadhan hata mb 200 sijatumia... Yan hata kufungua nyuz za JF inakuwa ngumu
Ningependa kuyaomba makampuni ya simu endapo kuna itirafu au matengenezo yoyote ya mitambo yenu muwe mnatupa taarifa mapema wateja wenu ili tuchukue hatua mbadala
Mkuu kwa huku songea Vodacom kidogo 3g yao inajitahid.. Hao wengine kina tigo na airtel hamna kituMitabdao ipo mingi ikizingua hamia kwingineko huzuiwi wacha kulalamika umefunga nao ndoa ya maisha
Mh tigo wana 4g kweli huku songea? Maana hata 3g yao ni kama 2gTrue that. Me inasoma 3G but speed ni ya kobe. Nmeswitch to tgo 4g will be back later
Aisee..Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa WOWOWO!!!
Poleni wakuu je halo tel nasikia inatambaMkuu kwa huku songea Vodacom kidogo 3g yao inajitahid.. Hao wengine kina tigo na airtel hamna kitu