Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kwa akili zangu za kuzuia zuia maombi nilipoona neno HAUPANDI nikajua ni lile neno JOGOO WANGU HAPANDI MTUNGI kumbe ni haupandi 3G
 
habar za mda huu,mim nimtumiajii wa vodacom mpesa,nimelipia kifurushi cha dstv kupitia mpesa toka juz lkn mpka sasa dstv wanasema hawajapata pesa,na nikipig huduma kwa wateja vodacom wanambia wanashughulikia lkn siku tatu zimepitaa,kamaaa kuna kuna mtu wa voda au mwenye msaada anisaidie asante
 
Uko mkoani mkuu?
Mbona inafanya kazi poa tu hapa Dar. Wasumbue tu hao Vodacom wakurudishie au wakamilishe muamala.
 
Mkuu ni inbox namba yako uliofanya muamala i will feedback letter.
If you only trust. If dont then mute[emoji112]
 
mpesa mnazingua,nimenunu kifurushii cha dstv tokaa juz lkn Amja niunganishia wala pesa yangu amrudishiii
 
Jamani Kampuni ya Vodacom Tanzania mbona wananchi tunashindwa kuwaelewa haiwezekani leo inakaribia wiki moja mtandao wenu wa mawasiliano ni mbovu especially kanda ya ziwa simu hazitoki , data nazo ni shida, m pesa nayo ndiyo usiseme unatoa hela asubuhi inakuja message usiku hivi tatizo ni nini mtujulishe tujue hata kama mnajaribu kutatua tatizo. kwa sababu hii sasa ni too much....
 
Wapigie wako faster sana kutatua matatizo ya wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…