Unajuaje hawasomi?Hivi hawa voda kama hawasomi na kufanyia kazi haya malalamiko. Ni kwanino hii thread isipigwe ban tu tujue? Admin naomba muongozo.
Pole aisee kiongoziNimenunua muda wa maongezi kupitia M-pesa zaidi ya mara mbili, ujumbe wa kufanikisha muamala hauji wala salio sioni kwenye simu.
Kibaya zaidi salio kwenye M-pesa limekatwa. Malizeni usumbufu huu haraka, mnatukwamisha kufanya mawasiliano, aaaaargh.
Sio dharau bali ndo walivyo hawataki kabisa ulalamike, wanataka uwasifie kwa huduma yao mbovu. Hii kitu walitakiwa wapewe wazungu waendeshe na sio sisi waafrica.Mimi pia natumia voda ila sahivi inakera sana,mtandao unakatakata hovyo,mpesa shida, internet ndo usiseme... Nipo kanda ya ziwa.
Ebu jirekebisheni tafadhali. Alafu mbona hamjibu comments za watu? Au ni dharau?