Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
tatizo langu ni kwenye internet napokuw natumia mb zenu mnazonipa zinakuwa zinaisha mapema sana na sina matumizi makubwa ya mb nipo kijitonyama mpaka nafikiria kuhama mtandao wenu kama huduma zenu ndo ziko hivo.
 
Ukinunua GB 1 ya vodacom hata dk 10 ni nyingi unaambiwa kifurushi chako cha internet kimekwisha,ukija kwenye luku ukinunua hela inakatwa Mpesa lkn token huzioni, haya kifurushi cha kawaida nacho hivyo hivyo, siku hizi ukipiga simu bado unaongea unashangaa simu imeganda ghafla!

Poor vodacom badilikeni mnakera,
Airtel oyeeeeeeee.
 
Nimekuwa mteja wa voda takriban Miaka 16 sasa....lakini sijapata huduma ninayostahili
Nahisi naastahili nyie voda mnipe zawadi sasa..

Ova
 
Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
Nilipata tatizo nimehudumiwa kwa spidi ya ajabu sana na hamisa na kitali,kila anaekuhudumia unapata msg.Asanteni sana kwa mabadiliko hayo
 
Nilinununa hisa Mwanza nilikua safarini kikazi ila kwa sasa nipo dar nitapataje certificate yangu hapa dar??????????
 
Sasa ni dhahiri mtandao wa vodacom wameamua kutuibia wateja wao pasi na huruma,inauma sana.

Siku nyingi sana nimekuwa nikilalamika na kupiga simu huduma kwa wateja juu ya kukatwa vifurushi Mb zangu pindi ninpao jiunga na vifurushi hivyo but unakut umejiunga GB 1 na unatumia simu cha ajabu ndani ya nusu saa kifurushi kimekata ukiuliza wanakujibu kwa kukulazimisha kwamba eti ulikua unadownload Muvi au uliingia youtube maskini ya Mungu,inaumiza sana.
Ni jana tu saa 1:30 nimeweka vocha ya 2000 nimetupia korogwe family promo GB1 cha ajabu hela wamekata hawajaleta mrejesho wowote huku kuchek salio na intanet hola,kuchek hela imechukuliwa.napiga simu Customer care wananiambia kuna tatizo la intaneti nisubir baada ya nusu saa,nusu saa inapita naangalia hakuna walichorudisha.Ni usumbufu usio na lazma yoyote ile.

Muda si mrefu nimepiga simu hapa anapokea mwanadada anaitwa mery,namueleza tatizo langu yeye ananijibu kuwa wakati naingiza hiyo hela niliacha data on ndo mana buku 2 yote imekatwa kwa matumizi ya net.namueleza nilichojibiwa jana na leo mbona ni tofauti? yeye anakomaa tu na hiyo ya kuacha data on wakati wa kuingiza hela,je ina maana haka katekno kangu kanakula sana mpk ndan ya dk1 sh 2000 inaisha au nusu saa GB 1 inaisha?

Au hiyo system ya hela kukatwa wakati umeacha data on ipo vodacom tu? Huu ni wizi wa waziwazi na usumbufu mkubwa sana.....Siwahitaji tena vodacom nachoma rasmi moto line yenu siwahitaji tena.Mnaendesha ligi ya kuu bara kwa pesa zetu mnazotuibia....hiyo ni haramu. to HELL VODACOM!!!
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania

Sasa ni dhahiri mtandao wa vodacom wameamua kutuibia wateja wao pasi na huruma,inauma sana.

Siku nyingi sana nimekuwa nikilalamika na kupiga simu huduma kwa wateja juu ya kukatwa vifurushi Mb zangu pindi ninpao jiunga na vifurushi hivyo but unakut umejiunga GB 1 na unatumia simu cha ajabu ndani ya nusu saa kifurushi kimekata ukiuliza wanakujibu kwa kukulazimisha kwamba eti ulikua unadownload Muvi au uliingia youtube maskini ya Mungu,inaumiza sana.
Ni jana tu saa 1:30 nimeweka vocha ya 2000 nimetupia korogwe family promo GB1 cha ajabu hela wamekata hawajaleta mrejesho wowote huku kuchek salio na intanet hola,kuchek hela imechukuliwa.napiga simu Customer care wananiambia kuna tatizo la intaneti nisubir baada ya nusu saa,nusu saa inapita naangalia hakuna walichorudisha.Ni usumbufu usio na lazma yoyote ile.

Muda si mrefu nimepiga simu hapa anapokea mwanadada anaitwa mery,namueleza tatizo langu yeye ananijibu kuwa wakati naingiza hiyo hela niliacha data on ndo mana buku 2 yote imekatwa kwa matumizi ya net.namueleza nilichojibiwa jana na leo mbona ni tofauti? yeye anakomaa tu na hiyo ya kuacha data on wakati wa kuingiza hela,je ina maana haka katekno kangu kanakula sana mpk ndan ya dk1 sh 2000 inaisha au nusu saa GB 1 inaisha?

Au hiyo system ya hela kukatwa wakati umeacha data on ipo vodacom tu? Huu ni wizi wa waziwazi na usumbufu mkubwa sana.....Siwahitaji tena vodacom nachoma rasmi moto line yenu siwahitaji tena.Mnaendesha ligi ya kuu bara kwa pesa zetu mnazotuibia....hiyo ni haramu. to HELL VODACOM!!!
 
Voda wezi wakubwa nyie Sytems yenu kwenye kununua luku very por juzi nimenunua umeme wa 10,000 hadi muda huuu hamuja niletea Massenge ya Token wezi wakubwa nyie
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Natumia Samsung A5 nikipiga namba zilizopo kwa phonebook yangu naambiwa sina salio, ila niki dial namba ambayo haipo kwa phonebook (contacts) simu zinatoka fresh, sasa sijui ni settings zipi hapa ambazo zinakorofisha?
 
nimefanikiwa kutatua tatizo
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

  • Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
  • Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
  • Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
  • Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
  • Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Sema la Ukweli Vodacom mnazingua sana upande wa mpesa sjui mmeshiba hela. Mara ya kwanza nilinunua umeme unit hazikufika kuwapigia mnadai hela iko hewani nilikaa siku10 ndio hela ikarudi sasa swali ni je kama mtu hana hela nyingine ashinde giza kisa hela yake mmeiweka pending??

...Swala la Pili jana tarehe 21/11/2017 nimenunua kifurushi cha king'amuzi kuwauliza hela iko hewani tena yani inakera kwahiyo nisubiri mpaka hela itue nchi kavu au maana inachosha kila ukiwapigia ndugu mteja bado inashughulikiwa yani basi tu
 
Mimi tatizo langu kubwa ni jinsi wanavyokadiria bando. Sijui wanatumia vigezo vipi? Tsh500mb70. Tsh1000mb200Tsh2000gb1

Mbona sioni wiano wa thamani ya pesa ya mnyonge hiyo ni tathmini ya viwango vya siku. Bado hujaangalia wiki na mwezi.

Na bado ukiunga na usipotumia muda ukiisha wanachukua. (tusemeje hapa) kwa nini wasingekadiria muda usio experid
 
Mmebadilisha kifurushi cha mwezi sms kutoka 1000 hadi 1500, mbona mnatukimbiza Kwa gharama zenu? Tafadhar rudisheni kiwe 1000 vilevile.
 
Mimi ni mteja wa Voda kwa miaka 16 sasa number yangu ni ile ile for 16 years
Mimi ninamatatizo ya network katika eneo la Kigamboni Mwasonga nikiwa ktk maeneo haya nashindwa kufanya shughuli zangu kwa ukosefu wa network interms of
1. calls
2. Internet
3. Mpesa

Ukifika barabarani unatafuta network kama uko Lushoto

Nimeushapiga simu several time complaining about the situation

Hapa mimi nataka tu nielezee tatizo langu lakini hata nyinyi wenyewe kama mta Survey maeneo haya mtaona hata agents wa Mpesa mno ukilinganisha na other service provider

Mkipigiwa simu the way you respond as if tatizo limeisha kitachotoke utaona improvement ya dakika 20 tu baada ya hapo ni majanga

Kumbukeni hili eneo liko karibu na eneo ambalo Mheshimiwa Makonda amewataka Dsm auto showrooms owners wote kuhamia huko immediately
 
Mkiendelea kuzingua Halotenl naona naikaribia/inanikaribia
Its really painfully kuona nimekuwa loyal customer kwa muda woote huo halafu customer complaints zinachukuliwa kiurahisi rahisi tuu

Kumbukeni feedback zetu ni asset zenu kubwa kama mtafanyia kazi
 
Toka juzi tarehe 28/11/2017 . Nertwork ya voda ni mbaya kuliko kawaida . Unampigia mtu husiki anachozungumza , mara upigie simu isiite , na jamaa wamekaa kimya tu as nothing is going on.
 
Back
Top Bottom