Benson kaile
Member
- Dec 15, 2013
- 7
- 1
Kivipi mkuuMbona hamjibu watu tunaibiwa helaa mna msaada gani sasa transaction inafanyika bila mtu kujua???
walikua hawajibu maswali ya hapaKivipi mkuu
*149*53*namba*kiasi#Wadau naomba maelekezo kwa anaye fahamu jinsi ya mtu kumrushia mwenzie Vocha baada ya yeye kuijaza kwake na aweze kui forward kwangu..?? Labda kama kuna code za kutumia au mfumo wowote! Tafadhali.
Ahaa okey nilijua imekutokea wewe au mtu wa karibuwalikua hawajibu maswali ya hapa
CcMods naomba hii support thread ifutwe. Hawa vodacom wanaulizwa mambo kibao na hawajibu