Childhood diplomacy
Member
- Sep 22, 2017
- 38
- 15
Masaa yalishapita ,wanaongea mapichapicha tu.........Ni jambo la kawaida sana ilimradi isivuke masaa 72 cha muhimu ni kuwa muangalifu na umakini wakati wa kutuma au kutoa hela
ahsante ;ushauri mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masaa yalishapita ,wanaongea mapichapicha tu.........Ni jambo la kawaida sana ilimradi isivuke masaa 72 cha muhimu ni kuwa muangalifu na umakini wakati wa kutuma au kutoa hela
Nenda kwenye ukurasa wao wa facebook andika pale watakushughulikia tatzo lako haraka kwa maana uwa hawapendiMasaa yalishapita ,wanaongea mapichapicha tu.........
ahsante ;ushauri mzuri
ok,ngoja nifanye hivyoNenda kwenye ukurasa wao wa facebook andika pale watakushughulikia tatzo lako haraka kwa maana uwa hawapendi
Kweli bwana hata mimi nimegundua fb wana respond fasterok,ngoja nifanye hivyo
VODACOMKuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.
Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.
Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.
Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom
UPDATE
=====
VODACOM wamefanya ustaarabu wa kunipigia baada ya kuona detail ya transaction hapo juu, na kuiona kwenye mtandao wa Jamiiforums.
Kimsingi wameapologise kwa mtafaruku uliotokea lakini wamenieleza nifike ofisini kwao kuona aian ya simu ninyotumia isije ikawa data apps ziko wazi.
Na kweli baada ya maongezi ya kuchunguza, mobile data setting ilikuwa ON, na mimeizima sasa.
Hata hivyo ni vema nitaenda kupata maelezo ya kuyeyuka kwa salio langu , karibu 20,000, kwa siku moja.
Wanabodi mtajulishwa inawezekana kuna wenye tatizo kama langu.
UPDATE
=====
Nimeonana na waheshimiwa sana wa Customer Care pale Block 4 Mlimani City.
Cha kusikitisha ni wao kushindwa kuchukua malalamiko yangu na kuyafanyia kazi, na hii ni licha ya kuwaelewesha kuwa hili tukio nalijawahi kunitokea na hii kuwa ni mara ya kwanza.
Hawa jamaa wa Customer Care ni kama mabalozi waliopewa jukumu la kusafisha kampuni ya VODACOM hata kama inanuka kwa wizi uliodhahiri.
Kitu ambacho hawajui ni kuwa nilifanya due diligence kupitia wafanyakazi ndani ya VODACOM walionidhihirishia kuwa kuna wafanyakazi wasio waaminifu ambao wana access na personal security settings za wateja.
Na wafanyakazi hao huwa "wapiga kishenzi" fedha za wateja.
Kwa kifupi mtu wa Customer Care ameshindwa kuniconvince na maelezo yake ya upotevu wa Tshs 20,000 katika mtandao wa VODACOM.
hahahaahofisi za zipo ubungo plaza wanafanya kazi kama ya kimahakama kuna kipindi niliwasilisha malalamiko tcra walichukua hadi miezi mitano hawajashugurikia
Juzi tu hapa nimekosea wamerudisha within 24hrs [HASHTAG]#Pesa[/HASHTAG] ni mpesa
Jamaa nia yko ni kuuza sura ili upate mademu ama!!!!!Ni aibu sana kwa mtandao mkubwa wa mawasiliano kama Vodacom kutusumbua na kutujazia matangazo yenu kwenye inbox text zetu haswa Mimi ni mwasilika wa hizi text toka Vodacom , sijawahigi kujiunga au kuomba kuunganishwa kwa ajili ya kupata infoz updates za huu ujinga mnaonitumia kila lisaa.
Pls stop this shit om.
Sample text za hawa Jamaa wanituamizo ni kama hizi [emoji116]
![]()
Vodacom kama ni brand mnayo hamna haja ya kuendelea kunijazia matangazo yenu haya. Hamnilipi kwa chochote hicho kwa ajili ya hiz promo zenu ispokuwa mm ndo nawaweka mjn hapa kwa kununua vocha zenu.
Acheni huu upuuzi.
Cheki sasa wanaume washalike you're lipsNi aibu sana kwa mtandao mkubwa wa mawasiliano kama Vodacom kutusumbua na kutujazia matangazo yenu kwenye inbox text zetu haswa Mimi ni mwasilika wa hizi text toka Vodacom , sijawahigi kujiunga au kuomba kuunganishwa kwa ajili ya kupata infoz updates za huu ujinga mnaonitumia kila lisaa.
Pls stop this shit om.
Sample text za hawa Jamaa wanituamizo ni kama hizi [emoji116]
![]()
Vodacom kama ni brand mnayo hamna haja ya kuendelea kunijazia matangazo yenu haya. Hamnilipi kwa chochote hicho kwa ajili ya hiz promo zenu ispokuwa mm ndo nawaweka mjn hapa kwa kununua vocha zenu.
Acheni huu upuuzi.
PumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuI like ur lips, very soft.
Ngoja nijaribu coz sijatumia Vodocom 2 years , na nilianza kutumia tena kwa sababu ya kauri za watu kama wewe sasa leo nitahama rasim nione kama nitashindwa kutumia coz mimi sina mkataba na mitandao ya simuUKISHINDWANA NA VODA, HAKUNA MTANDAO TZ UTAKAOKUFAA, FOR ME VODA IS THE BEST UKILINGANISHA NA MITANDAO MINGINE
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania