Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania acheni upumbavu, mtu yuko hewani lkn unampigia unaambiwa hapatikani.


Pumbav

Goite
 
Yani unakuta una shida ya mhim tena wakati mwingine ni tatz na la emergency, mtu unampigia et hapatikani, mara 1, mara 2,3 hadi mara 4 wakati laini yake iko hewani na mtandao unasoma kabisa!!

Nimekasirika Sana na mnaudhi..SHENZI

Goite
 
Mimi in mtumiaji wa Mtandao wa Voda kwa namba +255753737116 zaidi ya miaka 10 voda nawapenda sana ,Ila kwa siku za karibuni mmeshindwa kujipambanua ktk soko la ushindani ,Gharama zenu kwa watuniaji ziko juu kuliko mitandao mingine MF Airtel ukinunua kifurushi cha mwezi cha Tsh 10,000/- unapata dk 450 kwa mitandao yote na mb kibao swali mmejiandaaje kuimalisha imani ya wateja wenu kwani Voda Tsh 10,000/- unapata dk 320 tu mb kiduchu,Je hamuoni kuwa kujivunia kwenu kuwa na wateja wengi kumewafanya gharama zenu ziwe ghali na hili hamuoni kuwa linawapunguzia wapenzi wateja wenu?

2-M pesa hapo ndipo usiseme makato yako juu kuliko mitandao mingine na hapo napo hamuoni kuwa mnapoteza wateja kutokana na gharama zenu kuwa za juu?

Ushauri :Ninashauri mlivyo na wateja wengi basi huduma zenu ziwe rafiki kwa mteja ili watu waendelee kutumia mtandao wa Voda anytime
Asante
Yani unakuta una shida ya mhim tena wakati mwingine ni tatz na la emergency, mtu unampigia et hapatikani, mara 1, mara 2,3 hadi mara 4 wakati laini yake iko hewani na mtandao unasoma kabisa!!

Nimekasirika Sana na mnaudhi..SHENZI

Goite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vodacom naomba msaada jinsi ya kuongea na mhudumu wenu kwa njia ya simu ukipiga 100.

Mbona maongezi ni mengi na hayadirect kuongea na mhudumu kama unahitaji?
Cha pili nahitaji maelekezo ya kutumia Mpesa master card.
 
Mmekuwa wapuuzi sana siku hizi. namba za kuwasiliana na nyie 100 imekua haina maana tena kuna wakati shida zetu haziko kwenye menyu mliyo rekodi, tunapiga 100 wakati mwingine ili kuongea na muhudumu, sasa wakat mwingine simu zinakata mteja hajahudumiwa sasa sjui wahudum wenu muda huo wame dissable simu wanakuaga wanalewa au wanafanya mapenzi ofisini
 
voda waongo sana mnadanganya vitochi vyenu vina support 4G kumbe uongo mtupu.

Nawasiliana na wakili Yakubu tuwaburuze kwa TCRA ikiwezekana mahakamani kabisa.
 
Vodacom naomba msaada jinsi ya kuongea na mhudumu wenu kwa njia ya simu ukipiga 100.Mbona maongezi ni mengi na hayadirect kuongea na mhudumu kama unahitaji?
Cha pili nahitaji maelekezo ya kutumia Mpesa master card.
Ndo upumbavu hwao hawa washenzi!! Unapiga wanakuzungusha dk 10
 
Yaani vifurushi vyenu sijui vipoje yaani?
Hebu angalieni vifurushi vyenu na vya Halotel

Yaani huu mwezi wa 6 sijaweka vocha kwenye laini yenu sababu ya vifurushi visivyoeleweka.

Jifunzeni kwa wenzenu wa Halotel



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vodacom tumewachoka kwa kweli, mnatubadilishia vifurushi na bei zake mnavyojisikia nyie


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpaka zile Bilion 6 zirudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendagi kutoka home siku za sikukuu husika. Hata jana sijatoka. Imetokea msiba Singida kwa mwana. Halafu ni muislam kesho wanazika.

Daaah! nimeamsha ndinga usiku ndio nafika Dom Halafu MPESA haifanyi kazi Kila nkitia code zinagoma. Daaah! ninalala kwenye gari M- Pesasa acheni ujinga.

Kwa ughafla nikavuta kipato kutoka NMB mobile. Halafu nafika Dom huduma ya mpesa imekata. Daaah
 
Shukuru mungu umelala ndani ya gari na sio barabarani.


Huenda wana matengenezo mida hii na walioko huko walishatumiwa msg za taarifa
 
Shukuru mungu umelala ndani ya gari na sio barabarani.


Huenda wana matengenezo mida hii na walioko huko walishatumiwa msg za taarifa
Ndio imerudi babuu ... Afu mida mibovu ..ntaamsha asubuhi kali ..... Nikamuwahi mwana ... Maana daah msela kwao wamenitunza sana kishuleshule seco ......
 
Ulimaliza hela yote nmb kupeleka mpesa?

Pole sana. Ila Dodoma nadhani kuna hotel unaweza kulala na kulipia kwa mpesa. Pole sana mkuu.

Lakini pia unaweza kwenda kulala hotelini na pesa ukalipa asubuhi.

Kulala kwenye gari ulijitakia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…