Nawashauri katika App yenu Wekeni option ya kupata Mpesa statement na mteja aweze kupata statement yake kwa muda anataka hata kama niya mwaka mzima as long as anatumia hiyo app hii ya kwenda kwenye maofisi yenu I napoteza muda na bado ukifika milolongo inakuwa mingi mara ukitaka printed ulipie 3K..
Haina haja. Ma Bank nchini yamedevelop app zao na zina option ya kupata bank statement yako kwa muda unaotaka. Hebu badilikeni
Haina haja. Ma Bank nchini yamedevelop app zao na zina option ya kupata bank statement yako kwa muda unaotaka. Hebu badilikeni