Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku hizi mambo yamekua ya hovyo sanaWaheshimiwa naombeni msaada,nimekwangua vocha vibaya nimeshindwa kuingiza baadhi ya number,nimejaribu kupiga Customer care sipati msaada [emoji25],nafanyaje ili niitumie hii vocha?
Asante sana Mkuu kwa msaada wako, tangu jana nimehangaika sana,hata muda huu kabla sijasoma comment yako nimejaribu kuwapigia hakuna cha maana nilichoambulia.siku hizi mambo yamekua ya hovyo sana
watext neno "msaada" kwenda namba 100. Kisha fuata maelekezo.
Iko na ile ya kuhakiki number yako,kila baada ya dk 2 inapop up,unafuata maelekezo yote lakini bado inakuja tu.Natamani hadi kublock vodacom wenyeweVodacom nawapenda na hasa internet yao shida nachukia kupokea hizi sms za kamari sijui tusua mapene nifanye nini nisipokee hizi sms za hovyo.
Hili halina utatuzi ndugu labda tu umpate aliyekuuzia.Habari waungwana,nataji msaada wa line yangu ya vodacom mpesa,line hii niliuziwa na mtu miaka mitatu sasa imepta ,aliniuzia nikaendelea kuitumia baada ya yeye kufunga bihashara ya huduma za kifedha,sasa aliama mkoa na sina mawasiliano yeyote nae ,sasa juz line yangu imegoma gafla kusoma,sasa nafanyaje ili niiswap wakat mm sina document yoyote ya usajil wa lin hii,naitaji msaada wenu,atanguliza shukuran
Wewe unaishi bongo yote? Hii mitandao inategemea na sehemu ulipo, nilipo mimi airtel ndio the bestKwa Bongo Vodacom ndo mtandao bora kwa upande wa internet
Mkuu naona unataka ligi ..bahati mbaya nshatoka hukoWewe unaishi bongo yote? Hii mitandao inategemea na sehemu ulipo, nilipo mimi airtel ndio the best
Sasa ligi ya nini mkuu? Mi nakueleza tuMkuu naona unataka ligi ..bahati mbaya nshatoka huko
Sasa ligi ya nini mkuu? Mi nakueleza tuMkuu naona unataka ligi ..bahati mbaya nshatoka huko
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Hii mgodi ndio kitu gani nyie ?Ndugu mteja,

Wajinga hawa imeshakuwa kampuni ya matola kulazimisha kuchukua hela kwa wateja kwa huduma ambazo hawajaziomba hataLine za TIGO ,Airtel na halotel, ukiweka vocha hata ulale bila kujiunga utaikuta. Lakini voda uweke vocha haupiti muda Mara meseji za sokaletu, Wana pita na 200 Mara games za ajabu ajabu. Sasa huu wizi wa voda hebu punguzeni nshajitoa Mara kibao ila vocha ikiwekwa tu mnaunga nayo dahh
Hapa nahisi kuna UKWELI kuwa TCRA wanajua kabisaVODACOM mmekuja na mbinu mpya kuwaibia pesa wateja.
1. Mnaunganisha kimya kimya service ambayo siyo solicited, kama kuchagua miziki kwa makato ya shs 200/= kwa siku. Hata kwa siku moja tu, wateja 1,000,000 hapo mnaiba milioni 200!
2. Tusuamapene , ni utaratibu unakera sana. Unatumiwa msg zaidi ya 10 kwa siku ili uwachangie draw ambayo haipo.
Nina wasiwasi TCRA wanagawiwa makato kwa michezo hii.