line ya voda nilishaitupa chooni siku nyingi nilipogunduwa rostam aziz ni mmoja wa wamiliki wa voda.
Ni wezi kabisa, wezi wa mtandaoni. Najiandaa kutoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
line ya voda nilishaitupa chooni siku nyingi nilipogunduwa rostam aziz ni mmoja wa wamiliki wa voda.
line ya voda nilishaitupa chooni siku nyingi nilipogunduwa rostam aziz ni mmoja wa wamiliki wa voda.
Kwanini Bundles zenu mmezipunguza kinyemela. Au 'Kazi ni Kwetu"!
Wala halina kazi sana hilo dude ni kiasi cha kununua kichujio cha aluminium,karai/beseni kubwa la Alluminium,Sol tape na Usb extension Cable.
HATUA
Toboa matundu ya kupitisha modem na Usb extension cable katika kichujio & beseni lako la Aluminium,unga hizo beseni na kichujio kwa kutumia waya ngumu (Kichujio kiwe ndani ya beseni kubwa)then chomeka modem na usb extension na kugundisha kwa Sol tape afu ile ncha ingine ya usb unachomeka kwa PC.
Kidude kinasaidia kukamata vizuri 3G signal strenght mie hapa bar zote zipo ful
![]()
![]()
Mimi kila nkitaka kupost wizi wa voda hapa mods wanafuta. Voda ni wezi sana
Ndg tusiwe wepesi wa kulaumu tufanye na tafiti kwanza kwa kujilidhisha kama makosa siyo yako. Sasa ngoja nikwambie kama ulirusha salio na tablet ikawa ipo conected na applocation zako kama umeset auto syc . Hapo salio linayeyuka kama unga. Nakwambia hivyo kwani mimi ninayo na ninatimia line ya voda ila mimi hiwa najiunga 6000 kwa wiki au kwa mwezi 20000 zote unlimited.
je ukiachana na speed ya dashboard unapata EDGE Vodacom Tanzania au unapata WCDMA Vodacom TZ au unapata HSPA Vodacom Tanzania?
Lete jibu usaidiwe
Mimi nimejiridhisha kwa kila kitu mpaka nafikia hatua ya kuwaita voda wezi na wababaishaji. Fikiria mpaka nimewahi kufikisha malalamiko yangu Fair Competition Commission (FCC) najua ninacho kilalamikia, wala sijakurupuka kabisa.
FCC nao kama mods wa JF tu mda mwingine[/
QUOTE]
Hii kali FCC kama mods wa JF. Utapigwa ban. Pole sana....
Pamoja sana bro! Unaweza kutuonesha screenshot ya modem dashboard bila kutumia karai?