Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Habari Easymutant mara nyingi hii hutokea pindi mteja anapokuwa amejiunga na zaidi ya kifurushi kimoja hivyo kifurushi cha awali kinapokwisha mteja anadhani ni kifurushi kipya alichojiunga nacho. Inapotokea hali hii tafadhali piga *147# kuangalia salio. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
Tutumie namba ya simu na tuambie lini ulipata tatizo hili. Ahsante

Kuko na options nyingi now days, hama ingia mtandao unaouna ni bora zaidi kwako na kuiacha voda kama mtandao wa kupokea cm tu.
Imenitokea last wk zaidi ya Mara mbili na tatizo lingine ni Kuwa na pesa ya kutosha kununua kifurushi fulani lakini kila ukijaribu kujiunga unaambiwa hauna salio la kutosha. Mimi ni mteja was vodacom kuanzia mwaka 2000 na mbaya zaidi kila ukipiga customer care ni kichefuchefu tupu utasubirishwa mud a mrefu halafu mwisho was siku unapewa majibu short
Tuambie ni kifurushi gani umejaribu kujiunga bila mafanikio ulipokuwa na kifurushi kingine tafadhali.Mmmh, sidhani, hili ni tatizo sugu kwa kweli, kwanza voda hawaruhusu kujiunga na kifurushi kingine kabla ya muda wa kifurushi vha awali kuisha, hii nayo ni kero nyingine.
Tuambie ni kifurushi gani umejaribu kujiunga bila mafanikio ulipokuwa na kifurushi kingine tafadhali.