Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nakumbuka nilijiunga cha mwezi,hapo ndipo nilipogundua kuwa ni wezi na nikaapa sirudii tena.
 
ngoja tusubiri GSM ya TTCL tuone itakuwaje
 

Habari Makaura, tafadhali tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Hiki ni kiingereza wanachoongeaga mabaharia wakiwa kwenye meli manake mle nasikia mnajaa masela wa kutoka mataifa mbalimbali, kwa hiyo ili kidogo muelewane inabidi ucharaze ngeli hata kama ni mbovu kiasi gani
 
Safi sana, sio tu kwamba nimefurahia ujumbe murua kabisa, bali pia lugha mujaarabu ya ki inglish uliyopiga, bravo sana mkuu.
 

Kwi kwi kwiiii; mbavu zangu miye. Nimetoka kama nilivyoingia yaani kama jiwe lililolowekwa kwenye maji kisha likatolewa. Ila nimecheka jinsi nilivyotoka kapa
 
Kwa nini mkuu mbona ndio wanaoenda high school mpaka vyuoni hao.cc Elli.
hahahhaahahaaa Kumbe Waziri wa Elimu na Naibu wake wana elimu gani? Naskia kwa Mujibu wa Professa fulani hivi, ni kwamba Dr.K tangu apate PhD na akawekwa pale Engeering hajawahi kuandika paper hata moja hadi alipoteuliwa kuwa Wizi-arani sorry I meant wizarani
 
Awapiii labda itakua ya akiba huko vijijini ni airtel2

hakuna kitu ninachochukia kama vifurushi vya kukuruhusu kupiga mtandao mmoja tu! iv mtu anavyomwambia mwenzie 'weka line ya voda nikupigie' anaelewa kuwa anatakiwa kulipwa?

Yaani navichukia hivyo vifurushi balaa! na hapa ndipo voda wanapopigia watu bao. kuna kijiji flan watu wanatumia voda kwa 80% kwa stail hiyo ni ngumu sana mtu kutumia line nyngne. anyway, wajinga ndio waliwao
 
It true my friend from englishland. Voda it say Job to you. you like job you take Voda. you not want go another network. Voda it not care if customer is satisfy or not. kazi ni kwako.

Hivi unatania au upo serious?
 
It true my friend from englishland. Voda it say Job to you. you like job you take Voda. you not want go another network. Voda it not care if customer is satisfy or not. kazi ni kwako.

U man u use tigo o ea tel.?me all of them idnt like iam waited for viettel idnt knw when it come now i use ttcl the table phone for called ppeople whenever iam needed them.
 
heeeeeee
U man u use tigo o ea tel.?me all of them idnt like iam waited for viettel idnt knw when it come now i use ttcl the table phone for called ppeople whenever iam needed them.
 
Halo bategereza, mwalimu wako wa kiingereza alitekeleza BRN kwa ufanisi mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…