Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nakumbuka nilijiunga cha mwezi,hapo ndipo nilipogundua kuwa ni wezi na nikaapa sirudii tena.
 
ngoja tusubiri GSM ya TTCL tuone itakuwaje
 
Ni majanga tupu, nimeunganisha cheka ya wiki ya Tsh 2800 hata sikupewa sekunde moja ya kupiga mitandao yote, nikaamua kuunga tena ya mitandao yote Tsh 399 nimeongea sek 6 kimeisha! Hvi vodacom wanakusanya kwa wizi zile 9b za donation za afya walizoahidi?, ama kuna hasara walipata? Karibu 40% ya watz hawajui kusoma wala kuandika, je, huwa wanachukua hatua gani endapo hujuma hizi zikiwapata?! Asante vodacom kwa miaka yote mi 7 tuliokuwa wote pamoja!

Habari Makaura, tafadhali tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Up to now you it use vodacom ? You am not know Tigo or Airtel. Why it waste time with useless network Voda ? Me it not break break voda line only. it break break and burn and flash the ashes in toilet.
Voda is much uselessful. I am recommend Tigo for you.

Hiki ni kiingereza wanachoongeaga mabaharia wakiwa kwenye meli manake mle nasikia mnajaa masela wa kutoka mataifa mbalimbali, kwa hiyo ili kidogo muelewane inabidi ucharaze ngeli hata kama ni mbovu kiasi gani
 
Up to now you it use vodacom ? You am not know Tigo or Airtel. Why it waste time with useless network Voda ? Me it not break break voda line only. it break break and burn and flash the ashes in toilet.
Voda is much uselessful. I am recommend Tigo for you.
Safi sana, sio tu kwamba nimefurahia ujumbe murua kabisa, bali pia lugha mujaarabu ya ki inglish uliyopiga, bravo sana mkuu.
 
Up to now you it use vodacom ? You am not know Tigo or Airtel. Why it waste time with useless network Voda ? Me it not break break voda line only. it break break and burn and flash the ashes in toilet.
Voda is much uselessful. I am recommend Tigo for you.

Kwi kwi kwiiii; mbavu zangu miye. Nimetoka kama nilivyoingia yaani kama jiwe lililolowekwa kwenye maji kisha likatolewa. Ila nimecheka jinsi nilivyotoka kapa
 
Kwa nini mkuu mbona ndio wanaoenda high school mpaka vyuoni hao.cc Elli.
hahahhaahahaaa Kumbe Waziri wa Elimu na Naibu wake wana elimu gani? Naskia kwa Mujibu wa Professa fulani hivi, ni kwamba Dr.K tangu apate PhD na akawekwa pale Engeering hajawahi kuandika paper hata moja hadi alipoteuliwa kuwa Wizi-arani sorry I meant wizarani
 
Awapiii labda itakua ya akiba huko vijijini ni airtel2

hakuna kitu ninachochukia kama vifurushi vya kukuruhusu kupiga mtandao mmoja tu! iv mtu anavyomwambia mwenzie 'weka line ya voda nikupigie' anaelewa kuwa anatakiwa kulipwa?

Yaani navichukia hivyo vifurushi balaa! na hapa ndipo voda wanapopigia watu bao. kuna kijiji flan watu wanatumia voda kwa 80% kwa stail hiyo ni ngumu sana mtu kutumia line nyngne. anyway, wajinga ndio waliwao
 
It true my friend from englishland. Voda it say Job to you. you like job you take Voda. you not want go another network. Voda it not care if customer is satisfy or not. kazi ni kwako.

Hivi unatania au upo serious?
 
It true my friend from englishland. Voda it say Job to you. you like job you take Voda. you not want go another network. Voda it not care if customer is satisfy or not. kazi ni kwako.

U man u use tigo o ea tel.?me all of them idnt like iam waited for viettel idnt knw when it come now i use ttcl the table phone for called ppeople whenever iam needed them.
 
heeeeeee
U man u use tigo o ea tel.?me all of them idnt like iam waited for viettel idnt knw when it come now i use ttcl the table phone for called ppeople whenever iam needed them.
 
Up to now you it use vodacom ? You am not know Tigo or Airtel. Why it waste time with useless network Voda ? Me it not break break voda line only. it break break and burn and flash the ashes in toilet.
Voda is much uselessful. I am recommend Tigo for you.
Halo bategereza, mwalimu wako wa kiingereza alitekeleza BRN kwa ufanisi mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom