Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Du pole

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Asante mkuu, wanataka nilale gizani leo.
Hata nikipiga namba ya huduma kwa wateja haiconnect.
Naweza kuipata pesa yangu kweli?
 
kwa kuwa huwa utoi kwa hiyari wamekulazimishia kutoa tafuta hekla nyingine nunua luku ,,..
 

Hata mimi bado nasubiri tokens,na sms ya muwasa lakini haziji
 
Kiongozi,usiwe na muono hasi.Kwa nini usihisi kwamba kuna tatizo la kiufundi badala ya wizi?Utapopata token yako kiongozi,uwe muungwana kwa kutujuza.
 
Asante kwa kuchangia mama zetu kwa kutibiwa fistula.
Mungu akubariki.
Ukirejeshewa pesa kina mama watakulani.
Watu msiotoa Sadaka ndio tatizo lenu,yaani hadi mungu anaamua miujiza yake.Utakuwa umekosea kwenye options
 
Du! We unanunua umeme wao wanakushukuru kwa kuchangia kupambana na fistula! Kwa hiyo umeamuaje sasa?
 
Habari Rugaijamu tafadhali tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi ndugu mteja. Pole
 
Last edited by a moderator:
Rugaijamu suala hili
limekwisharekebishwa na tunaimani umepokea token zako. Ahsante

Vodacom mna matatizo mmeniibia sh.elfu 11 kwenye acc yangu ya Mpesa halafu mnasema imerudi NMB wakati huko nako haipo,acheni hizo nimekerwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Vodacom mna matatizo mmeniibia sh.elfu 11 kwenye acc yangu ya Mpesa halafu mnasema imerudi NMB wakati huko nako haipo,acheni hizo nimekerwa sana.
Habari zamda tunapenda kukutoa wasiwasi kuwa hakuna pesa inayopotea kupitia M-PESA. Tafadhali tutumie namba ya simu PM ukitufahamisha kutoka NMB uliufanya lini.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…