SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
hawa jamaa ni wezi sana jumapili nilinunua airtime 500 via nmb mobile,nikaletewa ujumbe kabisa nimepokea sh 500 kutoka nmb ile najiunga na cheka zogo naambiwa sina salio,j4 nime weka buku nimejiunga na kifurush cha jelo cha ajabu jelo ilobaki ikaliwa from no where, jana nime kopa nipige tafu ya 900 ile najiunga na cheka bombastik naambiwa sina salio na ile salio walilo nikopesha likapotea kusiko julikana,piga customer care simu inaita tu bila kupokelewa...kuanzia jana nime iteketeza na sina mpango nao hawa wahuni wa vodacom majizi makubwa kama ccm.
Mkuu hilo limenikuta. Nilijiunga Cheka Zogo ya 495 huku niliweka 1000. Kucheki salio lililobaki ni 0. Nilikasirika sana. Vodacom wanakera sana. Wako weak sana. Najiandaa kuachana nao ama kama vip ibaki kwaajili ya kupokea tu.