Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wamewahi fanya nini hata ushangae haya??!!!Hivi TCRA wanafanya nini??? Mitandao yote ni wezi tu, TCRA walipaswa wafanye usimamizi wa uhakika ili kuwalinda watumiaji na adhabu kali zitolewe kwa mitandao inayowaibia wateja.
Kwa hiyo tutumie mtandao upi? Yote naona ni majanga tu
wote wezi ila tigo na airtel na zantel wanaongoza unaambiwa kifurushi cha dakika 200 lakini kumbe dk 100 unatakiwa uongeeMtandao wa Vodacom una haja ya kufahamu kuwa Watanzania sio wale wa miaka ya Tisini! Mambo yamebadilika kama kuibiwa kwa ujanja ujanja tuliibiwa sana!
Vodacom wana boa sana kwa sasa ukiweka air time inaisha ghafla hata iwe 10,000 kwa dakika 5!
Lakini Vodacom pia wana toa kifurushi kwa kujiunga vifurushi hivyo kwa siku hadi mwezi,sasa ya siku wametoka dakika 25 Mpaka 18 kwenda mitandao mingine ambapo ni shida sanaa nayo ukiongea dakika 2 unaletewa sms kuwa Kifurushi kina isha ghafla! Vodacom ipo kisiasa sana yani ni Shidaaa
Mtandao wa Vodacom una haja ya kufahamu kuwa Watanzania sio wale wa miaka ya Tisini! Mambo yamebadilika kama kuibiwa kwa ujanja ujanja tuliibiwa sana!

hiyo ni kwel. soko la mawasiliano hapa bongo ni 'oligopoly', yani soko linakuwa na wauzaji wachache, kila mmoja yupo 'masikio juu' kusikia mwenzake atafanya nini, na ndo maana mitandao yote inafika kipindi bei zinakuwa sawa.mitandao yote ina kero za msimu. Leo voda baada ya muda watahamia tigo mara airtel.
Hivi TCRA wanafanya nini??? Mitandao yote ni wezi tu, TCRA walipaswa wafanye usimamizi wa uhakika ili kuwalinda watumiaji na adhabu kali zitolewe kwa mitandao inayowaibia wateja.
Mtandao wa Vodacom una haja ya kufahamu kuwa Watanzania sio wale wa miaka ya Tisini! Mambo yamebadilika kama kuibiwa kwa ujanja ujanja tuliibiwa sana!
Vodacom wana boa sana kwa sasa ukiweka air time inaisha ghafla hata iwe 10,000 kwa dakika 5!
Lakini Vodacom pia wana toa kifurushi kwa kujiunga vifurushi hivyo kwa siku hadi mwezi,sasa ya siku wametoka dakika 25 Mpaka 18 kwenda mitandao mingine ambapo ni shida sanaa nayo ukiongea dakika 2 unaletewa sms kuwa Kifurushi kina isha ghafla! Vodacom ipo kisiasa sana yani ni Shidaaa
Hiyo ni kweli kabisa mdau, Vodacom wana matatizo sana nadhani kuliko mitandao mingine, my wife wangu anatumia mtandao huo, tatizo alilokumbana nalo kila mara ni kwamba akiweka pesa hata kama hajapiga ile pesa inakatwa taratibu mpaka inaisha. Ameshawasiliana na wahusika kwa muda mrefu bila mafanikio. Nilichofanya, kwa vile hiyo namba yake inajulikana sana kwa ndgu na marafiki zake wengi, nilimnunulia simu nyingine yenye line 2. ya Voda ni ya kupokelea tu simu na kutumia huduma ya M-Pesa, hiyo ya mtandao mwingine anaitumia kwa kuweka air time na kupiga bila usumbufu wowote. Voda bado sana!
Habari Mlengo wa Kati, tafadhali tunaomba namba ya simu PM kwa mawasiliano zaidi.
mitandao yote ina kero za msimu. Leo voda baada ya muda watahamia tigo mara airtel.