Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Siku ya nne hii leo internet vodacom hovyo kabisa,yaani mtandao unazingua kila sekunde page mara ifunguke mara igome mradi majanga tu kwa simu na modem pia.

Najua mnapita humu hebu fanyeni hima basi watu tufanye kazi..au hadi tuhame kimya kimya?
 
Njoo tigo me nimevunja line leo coz sio voda hata airtel ila zantel ipo powa kabisa cha kushangaza hawa wachina wa smart nao wanazingua na line zao
 
Njoo tigo me nimevunja line leo coz sio voda hata airtel ila zantel ipo powa kabisa cha kushangaza hawa wachina wa smart nao wanazingua na line zao

Smart internet yao 2g
 
mkuu inategemea na eneo... nimeunga AIRTEL bundle ya mwezi mzima lakini siku ya 8 hii sijawahi kuitumia, mara ipo mara haipo... ila voda nagusa 2 inakubali. BADILI MTANDAO
 
Siku ya nne hii leo internet vodacom hovyo kabisa,yaani mtandao unazingua kila sekunde page mara ifunguke mara igome mradi majanga tu kwa simu na modem pia. Najua mnapita humu hebu fanyeni hima basi watu tufanye kazi..au hadi tuhame kimya kimya?

Pole sana Patrickn, tafadhali tufahamishe eneo ulilopo na tusaidie namba ya simu PM kwa msaada zaidi. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Labda huko kwenu Mbagala Charambe kwenye miti lkn voda kwa ujumla internet wako juu. tatizo ni wezi. Airtel ndio hakuna internet kabisa mpaka uwe oficin kwao
 
Mimi natumia modem ya airtel leo siku 4 sijaweza hata download video moja, network iko slow
 
Inategemea na eneo ulilopo,me natumia vda na wala haisumbui.
 
pole yako,ila usiseme wako poor wakati wengine tunafurahia huduma.
 
Siku ya nne hii leo internet vodacom hovyo kabisa,yaani mtandao unazingua kila sekunde page mara ifunguke mara igome mradi majanga tu kwa simu na modem pia. Najua mnapita humu hebu fanyeni hima basi watu tufanye kazi..au hadi tuhame kimya kimya?

Aisee kweli mkuu, mi nilifikiri simu yangu ina matatizo maana kila nikiangalia net nishida
 
Voda na huu tandao wa kabang wako juu sana ila airtel ni kama hawapo yaani muhindi muhindi tu hata umtie chumvi lazima aku short charge.
 
Asante mkuu nimeku-PM namba ninayo tumia kwa modem japo leo kidogo ime-improve
Ahsante,tafadhali tutumie namba mbadala unayotumia.
Ctr ukitupatia namba ya simu na eneo ulilopo itapendeza sana tuweze kusaidiana.
 
Last edited by a moderator:
Vodacom ndio mtandao bomba tanzania hii nilijaribu kubadilisha nikanunua airtel ndo nimetoka kuflash hiyo laini yao chooni eti 25mb kwa 1000 wakati vodacom 1000 ni UNLIMITED yasiku.

Yaani unaweka na hata udownload mamovie kibao bado mtandao uko bomba we utakuwa propagandist wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…