Huduma iliunganishwa kwa muda wa siku 7 bure na mteja anaweza kujiondoa endapo haihitaji huduma hiyo kama ambavyo umeweza kujiondoa. Pole
INTERNET
Huku nilipo mkoa MARA,BUNDA,KIBARA,kuna mnara apa tunapoishi ni karibu na wilayan lakin internet inazngua mno cku izi, co km zaman kwa kwel imekua ni zaid ya kero
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania

vodacom mna taarifa kuna mawakala wanaendesha biashara kwa kutumia till za watu wengine? zikiwemo za usajili toka agent maxmalipo wameuziwa
ulisoma vizur maelezo ya kifurushi kabla ya kujiunga,,Nimenunua kifushi cha bila kikomo lakini speed iko slow sana! yani sioni hata maana yake
Hamia TIGO mkuu,,hutojutia maamuz yako kamwe.nshapata solution saiv, ni kuhama mtandao manake nilikuwa nikiweka vi mb vyangu kama 100 mnavichukua hata kabla sijavitumia, nkiweka vocha ya 1000 usiku hasubuhi nakuta 500, kuangalia video utube hujamaliza hata dakika tano mb 100 zimeisha, niliwapigia simu mpzka nimechoka sound zenu, NAOGOPA KUFILISIWA.
Habari Yana Mwisho, tungependa kukufahamisha kuwa salio lako litaendelea kuwepo na tunashughulikia suala hili.Line yangu huwa nawekewa salio na ofisi na naweka salio pia. Sasa nina salio niliweka huwa halitumiki mpaka la ofs liishe. Nikiangalia salio kwa sasa mnaniambia kufikia 04.12.2014 niwe nimelitumia limeisha!! Je, hii ni haki? Kwanini mniwekee limit ya muda ya kuwa na salio kwenye cm yangu?