Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

hata mimi wa.wameniunganisha na nipashe wananikata hela. huu ni wizi kabisa nimeamua kununua laini yamtandao mwingine ndo naweka hela. ila ukiwauliza wanakataa wanajifanya umeunganisha mwenyewe wakati uongo
Habari golota, huduma ya Nipashe iliunganishwa bila makato ukihitaji kujiondoa tafadhali jibu 1. Pole
 
Last edited by a moderator:
Naomba kusema hii tabia ni ya KIPUMBAVU, kuweka vocha then inayeyuka bila matumizi, WIZI uliokithiri.

Ni takribani wiki mbili sasa nimekuwa nikinunua muda wa maongezi katika simu, nimeweka 'vocha' ya elfu tano, zaidi ya mara nane, hii ikiwa kila vocha ninaitumia ndani ya siku mbili hadi tatu, Tena hapa kila siku mtu unajiunga kwa vifurushi vya kila siku vya CHEKA.(Intaneti, muda wa maongezi na ujumbe mfupi wa maneno).

Tatizo hili lilishawahi kunitokea hapo kipindi cha nyuma na baada ya mzozo mrefu HQ Mlimani City walirudiaha vocha ya 20,000/= .Sasa hii tabia imejirudia, Acheni usanii wa kuomba namba za simu hapa na kisha kutofanya marekebisho.

Kitu kibaya ni kuwa nimekwisha tupa karatasi(vocha hizo nikizozitumia) lakini kama mkihitaji namba nitawatumia. Hii tabia inakera, mtu unaweka vocha pengine unakwenda sehemu isiyo na huduma kwa uharaka then unakuja kudhtuka eti hua salio na unakuta hujafanya matumizi yeyote tena hapa umejiunfa kwa vifurushi vyenu. Ninaomba kusema acheni UPUMBAVU huu na jirekebisheni.
Habari hippocratessocrates tafadhali tunaomba ututumie namba ya simu PM ukitufahamisha tatizo lilitokea lini kwa msaada zaidi. Pole sana
 
Last edited by a moderator:
acheni wizi kwa nini muunganishe automatically? si mngeuliza kwanza kama mteja anataka ndio muunganishe?
jMali huduma bado inapatikana bila kulipia. Mteja akihitaji kujiondoa anajibu kwa kutuma 1. Pia hili lilifanyika kwa kutambua wateja wanahitaji urahisi wa kupata habari achilia mbali umuhimu wake. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Kweli Vodacom kuna tatizo la wizi wa salio, mfano mimi mara kwa mara nikiwa sina salio alafu nikijiunga nipige tafu salio linakuja kwenye account ila kitendo chakutaka kujiunga cheka time na ambiwa huna salio na jiuliza limeenda wapi, afu bado nikiweka vocha na katwa pia@Vodacom Tanzania
Habari CODER, endapo huna salio kwenye simu yako tafadhali hakikisha unazima huduma za Intaneti (Mobile Data) kabla hujaongeza salio, nunua kifurushi kisha fungua huduma za Intaneti. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
INTERNET
Huku nilipo mkoa MARA,BUNDA,KIBARA,kuna mnara apa tunapoishi ni karibu na wilayan lakin internet inazngua mno cku izi, co km zaman kwa kwel imekua ni zaid ya kero

Hii inafanana ukiwa makao makuu ya wilaya ya Kongwa hamna kabisa 3G

Niko Mbagala karibu na mto Mzinga ni zaidi ya mwaka sasa Internet ni tatizo kubwa. Huko nyuma halikuwa tatizo kihivyo. Na sisi wateja wa huku twaweza sikilizwa kweli? Nasubiri nione kama mlileta, forum hii kubeep au kushughulika na matatizo yetu kweli. ..

Jamani net yenu vipi nimenunua kifurushi cha bila kikomo lakini speed iko slow mno! Yani haina hata maana

Nimenunua kifushi cha bila kikomo lakini speed iko slow sana! yani sioni hata maana yake
Tafadhali tunaomba namba za simu PM kwa msaada zaidi. Poleni sana
 
Nyie watu wa Voda kwanini mnatengeneza mazingira ya rushwa? Kuipata line yenu ya Mpesa hapa Songea imekuwa tatizo.Miezi minne sasa bado laini et inatengenezwa. Sasa mnafanya biashara kweli?Halafu mawakala mliowapa kazi hiyo wanataka hadi uwape hela ya rushwa ndipo wakutengenezee.Jamani kwanini mnaendekeza rushwa kiasi hiki?Msije kusema kuwa mnapakwa matope tu haya yapo kabisa. Vodashop yenu nayo ni tabu tupu.Tangazeni wazi kuwa ili upate line hiyo ya Mpesa niwe na kiasi gani nielewe.

Habari Ngalikivembu tutumie majina uliyotumia kuomba huduma ya uwakala kwa msaada zaidi. Pia uwakala unapatikana bila malipo yoyote na endapo wakala mkuu atakudai pesa una kila sababu ya kumfikisha katika vyombo vya sheria.
 
Last edited by a moderator:
vodacom mna taarifa kuna mawakala wanaendesha biashara kwa kutumia till za watu wengine? zikiwemo za usajili toka agent maxmalipo wameuziwa
Ahsante kamwamu, tunafahamu hili na zoezi la kuhakiki mawakala limekwishaanza.
 
Last edited by a moderator:
JAMAN NDUGU ZANGU WAKUBWA WA VODA IVI INAKUWAJE MTU AONGEE SEKUNDE 10 AFU MNAMKATA DAKIKA MOJA?

maana huo utaratibu cjui ndo mpya au ni vip?

Tafadhali tupatie namba ya simu PM na tufahamishe lini tatizo limetokea kwa msaada zaidi.
 
Tafadhali tunaomba namba za simu PM kwa msaada zaidi. Poleni sana

Mbona nimewapa no.alafu tena mnanipigia mnaniambie nitume namba kwenue facebook!! Ya nini?naomba kama mnaweza kurekebisha hiyo net mrekebishe no.hii hapa 0753606025
 
Mbona hamtaki kuboresha network hapa Kinyerezi mwisho. Hali ya mawasiliano ya voda si nzuri kabisa hapa, inabidi tutumie mitandao mingine kutumia voda hapa ni majanga
 
Kuna yule dada aliyepewa kuswap yani utendaji umekuwa hovyo kabisa kabla yake ilikuwa inachukua siku 3-4 ila kwa sasa imekuwa wiki mbili bilabila anazingua sana bana
 
Mbona nimewapa no.alafu tena mnanipigia mnaniambie nitume namba kwenue facebook!! Ya nini?naomba kama mnaweza kurekebisha hiyo net mrekebishe no.hii hapa 0753606025
Habari,huduma iko sawa kwa sasa. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Mbona hamtaki kuboresha network hapa Kinyerezi mwisho. Hali ya mawasiliano ya voda si nzuri kabisa hapa, inabidi tutumie mitandao mingine kutumia voda hapa ni majanga
Tafadhali tufahamishe inasumbua vipi na unapotumia unapata ujumbe gani. Poleni sana
 
inaelekea mnara wenu Kinyerezi mwisho una matatizo au haufanyi kazi au labda eneo lile hamna mnara labda tunahudumiwa na mnara wa mbali sana. Mawasiliano kwa ujumla ni mabaya sana, kupiga simu shida wakati wowote mnara unashuka na simu inakatika, wakati mwingine mtu wa upande mwingine humsikii. Kwa upande wa internet ndio balaa kabisa, yaani huwezi kufanya chochote. Mbona tigo na airtel haina shida yoyote nyie kitu gani kinawashinda? Namba yangu ndio ninayotumia na inayofahamika na wengi lakini nyie mnanilazimisha niitoe kwrnye simu niweke airtel au tigo
 
Mbona nimewapa no.alafu tena mnanipigia mnaniambie nitume namba kwenue facebook!! Ya nini?naomba kama mnaweza kurekebisha hiyo net mrekebishe no.hii hapa 0753606025
Tulipopiga namba hii alipokea mwanamama akisema sio yeye aliyeripoti tatizo hivyo aliombwa aliyeripoti akirudi awasiliane nasi kupitia ukurasa wetu wa Facebook.
 
Back
Top Bottom