Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
Voda jana asubuhi nimehamisha hela toka NMB mpaka sasa hazijafika! Muda huo huo nikahamishia tigo zikafika muda huohuo! Hela benki haipo na m-pesa haipo! Mmepeleka wapi hela yangu? Huko "hewani" zilipo nani anazimonitor?