Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
Vodacom wanapaswa kujibu malalamiko haya kwa ufasaha kwani wateja tunachoamini ni kuwa kuna wizi sana huko wa salio kwenye simu.kwani huko voda sijui mnapewa huduma bure? maana kila siku malalamiko na kuhama hamtaki
Voda jana asubuhi nimehamisha hela toka NMB mpaka sasa hazijafika! Muda huo huo nikahamishia tigo zikafika muda huohuo! Hela benki haipo na m-pesa haipo! Mmepeleka wapi hela yangu? Huko "hewani" zilipo nani anazimonitor?
Ahsante sana Joseph, endelea kufurahia huduma zetu.