WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,433
- 1,442
Habari Samwel, pesa yako haijapotea ipo mahali salama, hali hii inarekebishwa.
Huu ujinga unamjibu nani? mvyuuuuuue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Samwel, pesa yako haijapotea ipo mahali salama, hali hii inarekebishwa.
Mnapata faida gani kumfungia mtu laini, kisa tu kuna mtu kakosea namba tena mwenyewe, mmefunga laini yangu mpesa niliyokua nafanya miamala zaidi 80 kwa mwezi!, badala ya ninyi kumcommand awe anapiga customer care kama nna salio mkate, sasa faida ipi mmepata?! mmepoteza miamala mingapi?!, yaani kuangalia salio tu naambiwa akaunti yako ya mpesa haipo! he, kwa utaratibu huo kila mtu tu akiwapigia mnafunga mpesa yake, hamuoni mnapoteza wateja?, mambo haya yanaenda kimya kimya sio kukurupuka tu na kumfungia mtu mpesa! mnategemea nimeona mpesa yako haipo ntaweka pesa!!? u have to think b4 acting, nimehamia eatel wazee
Habari Mihadarati,hapana shaka kuwa kifurushi huisha kutokana na matumizi, la kama unahisi hukufanya matumizi yoyote na kifurushi kimekwisha unaweza kututumia namba yako ya simuVoda mnakera sana vifurushi venu nimekaa kihuni mtu unajiunga kifurush cha internet hujafanya chochote unapata sms mb zako zimeisha..ila kila jambo lina mwisho wake utakuja mbadala wenu
Kero Yangu ni kuwa mnashindwaje kumuwezesha mteja kujiunga na vifurushi vya muda Wa maongezi na internet kutoka katika M-PESA? Kusema kweli inanikera sana kuona ni lazima nihamishe fedha halafu nijiunge.. Badilikeni sasa jamaniNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
-
line yangu 0758101115 ilipotea na nika renew, tatizo sasa lipo kwenye ac ya mpawa! nikitaka kuifungua taarifa inakuja ya kuwa haipatikani, nimewasiliana na huduma kwa wateja lakini sijapata ufumbuzi!