Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

lazima vodacom wajitambue. na wajue kwamba hatuhitaji kwenda internet cafe' kwa mambo madogomadogo kama vile kusoma email. kama wanalijua hili basi ni nafasi yao nyingine kutambua kwamba huu ni mwaka 2015 na wala sio mwaka 2005
 
Namba yangu ya voda ina miaka 16, ila naona naitupa soon,

Wezi wezi wezi nyie makaburu wabaguzi,#$××### zenu
 
Voda kwa vifurushi hivi vipya am sure mtapoteza 76% ya wateja wenu, watu wanahitaji mb zaidi ya hizo sms, kuweka mb 60 kwa wiki ni akili au matope?
 
Mi nadhani kuna dhana ya kutaka kudhibiti watu tusiitumie internet ili kuhabarishana na kuweza kujifahamu, ama wameona biashara ya mobile money banking inalipa zaidi kuliko vocha,
 
Vodacom..ni lini mmejibadilisha nakuwa chama cha mapinduzi?kwanini mnatufanyia hivi lkn?tumewakosea nini jamani?mbona tunakuaga waaminifu tukikopaga tunarudisha kwa wakati?...poa haina shida ila mtavuna mnachokipanda na minara yenu km njugu nchi nzima.
 
Voda hamna wachumi kwenye kampuni lenu,mabadiliko haya hayaendani na uchumi wa sasa wa Tz hasa kwa watanzania wengi.
 
Voda kwakweli mimi sina line tofauti na voda tena line 3 zote zipo hewani ila kwa maajabu mliofanya kwenye vifurushi na hasa MB mjitafakari nitawahama ndani ya mwezi
 
Kiukwel naipenda sana voda,nmeanza kutumia toka 2003,kwa hii huduma mpya ukwel nahama,ngoja nianze kuangalia nihamie wap
 
airtel wap vzr,usiku intanet bure na haikuanza leo,muda tu.mb na dk za kutosha,tena si masaa 24 bali ni masaa 25.bundle za wiki na mwezi usipaime,modem zao zimetulia,hamieni airtel.tigo ukitaka wasilambe salio,unaweka fasta na kujiunga fasta,ukichelewa,ukalala na salio,asbh yake utakuta wamekata salio.Na ukijiunga halaf umebakisha salio,wanalamba salio kidogodogo.tuwe makini,wakt huu ni wakampeni,maescrow wamehamia kwa mitandao ya simu.
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania

kwann hamja respond kwa hili tatzo la MB kupunguza otherwise na mm pia nahamia Airtel
 
Vodacom katik kusom kote sijaon hat theory moja ya uchumi mliyotumia katka kupanga mgao wa mb na pia hamjaangalia daraja la chini ambalo lilikuwa linategemea 500 siku mbili kwa. Kifurush cha 250. Sasa nyie voda hii tuiteje kutoka mb 100 had 8 au ni persistant fall. Voda fanyen marekebisho bhana ila kama mmeridhka na faid tayar ipo mitandao pia mingine mipya. And kumbuka service yenu ni substitute kwamb ukipandisha bei wanamia kwa mwenzako. Mim ninaz lain 2 za voda ila kwa huu mwendo airtel am coming soon
 
Last edited by a moderator:
Vodacom katik kusom kote sijaon hat theory moja ya uchumi mliyotumia katka kupanga mgao wa mb na pia hamjaangalia daraja la chini ambalo lilikuwa linategemea 500 siku mbili kwa. Kifurush cha 250. Sasa nyie voda hii tuiteje kutoka mb 100 had 8 au ni persistant fall. Voda fanyen marekebisho bhana ila kama mmeridhka na faid tayar ipo mitandao pia mingine mipya. And kumbuka service yenu ni substitute kwamb ukipandisha bei wanamia kwa mwenzako. Mim ninaz lain 2 za voda ila kwa huu mwendo airtel am coming soon
 
Last edited by a moderator:
Vodacom

Kwa hili mmeboronga.. Kwanini mnapandisha bei bila ya kututaarifu wateja??

Mmepunguza kwa kiwango kikubwa sana..... Huu ni unyonyaji wa hali ya juu sana.
 
Tunaambiwa ni mpango maalumu wa kupandisha bei ili likusanywe fungu fulani lisaidie kwny campaign za CCM.

Lakini Vodacom tambueni mnatuadhibu Watanzania masikini tunaotumia huduma zenu.
 
hapana vo mipango ya ccm kwqn hiyo co kampun ya serikar ni voda ni wao wenyewe katika kudhan soko wananilimiliki kwa 100%...
 
hapana vo mipango ya ccm kwqn hiyo co kampun ya serikar ni voda ni wao wenyewe katika kudhan soko wananilimiliki kwa 100%...

Kuna vigogo wa CCM wana hisa humo, mfano Rostam Aziz ana share 40%!
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda😡
Hamia Airtel
Kwenda mitandao yote
500 dakika 15 + mb 125
1000 dakika 30 + mb 300
 
R.I.P VODACOM.
Ashakum si matusi,sijawahi kuona kampuni ya kijinga kama vodacom.
Wezi na majambazi wakubwa nyie.
Mnakoelekea sasa ni kufa kabisa na muda si mrefu tutawaletea kampeni ya VODACOM DELETE FUTA KABISA.
airtel na tigo,jiandaeni kupokea wateja wapya watakao hama kutoka vodacom.
Vodacom mnahitaji kwenda shule kusomea biashara kwani mnaonekana hata vyeti vya la saba mmeforge na ili kuboresha biashara yenu ni bora kampuni nzima mkajifunze namna ya kufanya kazi na watu.
KULIKO UFANYE BIASHARA NA VODACOM,BORA UKAFANYE BIASHARA NA WAZOA TAKATAKA.
 
Back
Top Bottom