hiyo hela itarudi yote usiwe na wasi wasi ila cha msingi usiwe na haraka.mimi kuna mwanamke nilikuwa nampenda sana,akanidanganya kwa maneno yake then nikamrushia laki tano ilikuwa mida ya jioni siku hiyo,na siku hiyo akaniambia,beby kesho ntakuja kwako,na mimi nikamwambia naomba uwahi kuja ili ukaweze kuandaa chakula cha mchana.basi kesho yake nikakaa mpaka saa tano karibu ya mchana hajafika,nikaanza kumpigia simu na simu yake ikawa haipokelewi,nikaamua kumjulisha mfanyakaz mwenzangu,nikamwambia ebhana shemej yako simwelew anazingua kuja na simu hapokei.huku nikiwa naendelea kuongea na mfanyakaz mwenzangu,nikapigiwa simu na kuulizwa,wewe ni nani unaepiga simu ya mke wangu?kiukwel nilijisikia vibaya na jamaa yangu akanishaur niwapigie voda kuwaeleza,nikawaeleza na wakaifungia akaunt yake ya mpesa.nilikaa mda sana kama miez mitatu bila kuwapigia voda kama hela imeshaingia kwenye akaunti yake,na juz nikaamua kuwapigia wakaniambia kuna hela imeingia kwenye hiyo akaunt na wakanirudishia hela yangu yote.thanks god