Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kwa nini vodacom watu ni aghali sana kulinganisha na mtandao mingine? Halafu manana no vifurushi Vyetu. Maana, university offers are so limited in terms of Wi-Fi La coverage around the target area na buying halafu Hanoi ya wiki Kama wenzenu. Hata offer ya Mwezi ingekuwa Poa ili mtu aliens field ya mwezi bado muwe pamoja kuimarisha elimu
 
Voda mkera mpaka mnatia kinyaaaa ikifika saa mbili usiku kununua kifurushi cha data ni shinda unafuata njia zote ukiangalia salio alijakatwa unaweza ukamaliza lisaa lizima unaunga tu na wasikuunganishe kabisaa hadi kesho yake...
 
Vodacom juz wametuma mesej juz kwamba unaweza lupata 4GB kwa sh elfu 10 tu , kwa hiyo niulize je hizo GB za internet za mwezi au za mda ganii .naomben msaada wenuuu
 
Mimi line yangu ya voda imekuwa ya kupokelea tu simu, nimechoka kukatwa
 
Boresheni university offer zenu, ni mbovu sana HAZIFAI KWA MATUMIZI YA MWANACHUO
 
Mimi ni wakala wa vodacom nina m- pesa tatu na kila kwenye biashara yangu kuna m-pesa sasa jamani kwanini msiboreshe huduma zenu za kimtandao ili tusipoteze wateja maana leo siku nzima m- pesa yangu imefanya transaction kumi kila ukijaribu kumwekea mtu pesa unaambiwa temporary down, kitu kingine leo ni tarehe 03/10/2015 lakini kamisheni hazijathibitishwa mnategemea hawa wasaidizi wetu tuwalipe nini na km nyie pia ndo mngekuwa huku mtaani unafanya kazi hadi tarehe tatu ujalipwa unafikil utaishije, mbona nyie huko ofisini mnawahi kujilipa, isitoshe kila mualama ninaofanya si ninalipwa hapohapo kwanini msithibitishe kamisheni mapema ili wasaidizi wetu wawe na moyo wa kufanya kazi?
Badilikeni tutaachana na nyie tufanye kazi zingine.
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania

Ni kweli kuwa mmepandisha bei vifurushi vya internet na vya maongezi?
Na kama jibu ni ndio unlimited kwa mwezi ilikuwa 25,000/= imekuwa shilingi ngapi kwa sasa?

Na kwanini mmepandisha bei?
 
Leo nimetoka kuitupa Laini ya Vodacom Tanzania kwa Huduma zao mbovu. Kwanza wamepunguza MB kwenye kifurushi cha 500 MB1 kweli hii haki??? Pili nimejiunga Jana jioni kifurushi cha masaa 24 ilivyofika saa 6 usiku wakanikatia daah hawa jamaa km Tanesco
 
hivi vodacom ndio mnatufanyia nini? yaani nimejiunga saa nne usiku inafika asubuhi eti kifurushi kime expire!!! bora niendelee na tigo tu
 
Nauzuni sana kila nikiasikia kuna mtandao unaoitwa vodacom ivi ni kwann nyinyi mmekua wakutukandamiza kila Mara inakuaje kunakifurushi cha internet bila kikomo lakin kwa upande mwingine mm ninaona kunakikomo kwa sababu ukishatumia mb 700 tu mnaanza kutulimit tena kuwa tutumie polepole na wakati mwanzo mlituambia bila kikomo xaxa inakuaje inakikomo? Tafathal chukuen hatua...……
 
vodakom mb 1 ndo nini?1Mb si usenge huu kutka kwenye mb8 had mb1.vodakom ------- wakubwa nawashauri achana neni na vodakom.watumie wenyew.kum......
 
Mb 1, me naona mngeweka sifuri tu, ieleweke. Sasa si siasa hii hadi kwenye biashara
 
Itabia ya kukata kifurushi kabla ya masaa 24 inatoka wapi. Nimejiunga Jana kifurushi lakini saiz sioni SMS wala dakika . tatizo nini
 
Mb1, Hii Inatokea Tanzania Pekee, Na Vodacom!, Kuchagua Vodacom Ni Sawa Na Kuichagua Ccm! Na Kutumia Vodacom Ni Laana!
 
Back
Top Bottom