Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama nafuu my footJamani poleni kwa matatizo yote,lakini nina ushauri wangu kwenu,hamieni Halotel,kwanza uhakika wa mawasiliano yako kwa maeneo mengi Tanzania,(zaidi ya asilimia 90) mjini na vijijini),ubora wa huduma za upigaji,upokeaji wa simu za miito,ubora na spidi ya juu zaidi ya 3G mahali pote.Gharama nafuu zinazoendana na ubora wa huduma.
Karibuni Halotel
Pamoja katika ubora
...hii ipo hata huku nilipo,usipozima data function lazima utaliwa tu,jifunze kuzima data kabla hujaweka salio..VODACOM nyie ni wezi wa kufa mtu.
Jana nimeweka Tsh 2000 kutoka MPesa yangu kama credit.
Nikaweka Ths 999 kama Cheka time(hivyo nimebaki na Tshs1001)
Najaribu kuweka Internet ya bundle ya 500MB ya masaa 24, eti mtandao wa VODA ukasema sina salio!!!
Nikaamua kumuuliza dada wa customer service baada ya kudial 100, baada ya kujibaraguza kwingi akaniambia kama data function iko ON mtandao wa VODACOM unakomba hela zote!!
Nikamuuliza sasahii inakuwaje mtandao unakomba hela yangu wakati sikjatumia service ya VODA, huyo dada akasema naye hajui.
Mimi nikamwambia mtandao umekuwa set kuiba salio la wateja!!
Huyo dada akasema yeye ndio mwisho wake wa kujieleza!!!
Nami nikamwambia VODACOM NI WEZI!!
Watatumiaje salio langu wakati sijatumia service yao baada ya kuingiza salio?
SasaVodacom tudhihirishie kama ninyi si wezi.
Mkuu computer ni settings, kama umeziset kuiba salio za wateja hakuna njia nyingine za kuterm zoezi hilo, ni WIZI....hii ipo hata huku nilipo,usipozima data function lazima utaliwa tu,jifunze kuzima data kabla hujaweka salio..
Utaratibu wenu wa kutoa line za M PESA sio mzuri leo nimeenda pale NHC customer care na vielelezo vyote eti mtanijibu ndani ya miezi mitatu jamani line ni yenu na nyie ndo mnanufaika sana kwa nini msiseme tu kama hamtoi kuliko kumwambia mteja asubiri miezi mitatu ni ukiritimba nimeondoka na vitu vyangu.mnajenga mazingira ya urasimu tu huku mtaani ukimpa mtu hela laki mbili anakuletea line tukifuata taratibu hamtoi ndo nini hivyo nimechukizwa sana na hilo.Maoni yangu msiwe walasimu wateja wengine hatupendi njia za mkato mfano mimi nimeamua kuacha coz of kukaa miezi mitatu wakati wengine wanaotoa hela ni siku mojaNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Ndugu mteja,

Vodacom Tanzania; kwanini mmeondoa vifurushi vya internet vya unlimited?!Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Mkuu unamtafadhalisha mwizi asikuibie?Vodacom Tanzania; kwanini mmeondoa vifurushi vya internet vya unlimited?!
Huu uamuzi wenu umeni-disappoint sana kwa kweli...
Huu ujinga wa kuweka limit ya matumizi ya data ni wizi mweupe kabisa. Haiwezekani ninunue kwa mfano MB za buku mnilazimishe nitumie ndani ya siku moja,wakati huo huo kuna mtu anaweza tumia ndani ya masaa 6. kwa nini msiache nitumie hadi nitakapo zimaliza hata kama ni kwa wiki moja. tunatofautiana vipato na matumizi. eti zikibaki mnaziondoa,inamaana mnaziuza tena.
NITUMIE KADIRI NILIVYOLIPIA,YAWE MASAA SIKU,WIKI MIEZI N.K HIYO NDIYO PRICE YA BIDHAA NILIYOLIPIA IWEJE MZICHUKUE ZINAZOBAKI?