Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

jamani yaaani maisha haya kila mmoja anatafuta namna ya kumwibia mwenzake, nenda tra wanatafuta namna yakukukadiria kiasi utakacholipa kodi,nenda benk hakuna riba wao ndo wanakukata mwisho wa mwezi, nenda mitandao ya simu ndo usiseme, nenda kwa machangudoa nao hivo hivo kila mahali daaaa tukimbilie wapi pa kuponea hakuna ni kuvumilia tu
 
Vip kama wakikimbilia kwako
 
Tayari nimeshanunua simu ya upepo ili niokoe gharama za maisha maana mitandao hii inaniibia sana pesa zangu, tena kama Voda wamezidi.
 
Hii voda ni kichefu chefu aisee cjui mmepiga pesa za kutosa sasa mmeona basi yaani mnatuibia mchana kweupe kiasi hiki imagine mtu unanunua bandle la mda Wa masaa 24 alafu linaisha mda huo huo dah luku tatizo vifurushi avieleweki kila siku mb zinapunguzwa kila siku m pesa aisee hata nachoka nafikili kuama soon siwezi maisha haya kiukweli
 
ninawashauri voda ni bora mkaanzisha suggestion box yenu kwa mtandao wenu ambayo itakuwa active through out..mkawasiliana na mteja faragha kuliko hii thread inaweza kutumika vibaya kuwaharibia biashara..mtakuwa followers soon kwa matatizo yenu kuanikwa hapa..
 
Wapendwa wa Vodacom, ubora wa Internet uko chini sana hapa Sinza E kwa Mwaibula. Nahisi kuna haja ya kuangalia huu mnara wenu hapa maana signal signal strength iko full ila Internet muda mwingi iko very slow au haipo kabisa, kuliko ilivyokuwa zamani.
 
Vodacom inakera sana, tatizo langu ni pale unapoweka credit ili ujiunge na muda wa maongezi, lets say unajiunga kifurushi cha wiki cha 4000, hata ukiweka 42200m utaambiwa salio halitoshi kujiunga
Hivi mbona mitandao mingine hawana hizo? mbaya zaidi hata ukiweka 4500 ukajiunga, hizo 500 hutazikuta tena.
Hii ni kero inayonifanya kukimbia Voda, kama siyo kutumia M-Pesa hata line ya Voda ningeshaitupa. ( M-Pesa kwa kweli huduma zao ni nzuri)
 
The same apply ata kwenye bundle....una 1700 huwez unga bundle ya 1500
 
Ndugu wateja wetu wa vodacom Cheka zogo imerudi piga *149*03# Vodacom kazi ni kwako.
 
Attachments

  • 1456936945186.jpg
    1456936945186.jpg
    28.2 KB · Views: 46
Back
Top Bottom