Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Tatizo ni internet, utakuta umejiunga kifurushi una MB za kutosha halafu mtandao unasumbua always no netwok, hii imakuwa serious tangu muanzishe facebook bure, tafadhari liangalien hili
 
Vodacom Tanzania mnachofanya No sawa Na Danganya Toto tu Kuhusu Facebook For Free .. Umeshaona Wapi facebook Bila Picha.?

Eti Nyie Bila Picha Ndo Free ... Bora Muitoe Tu Kuliko Kutuwekea Danganya Toto
 
Kwakwel ngoja nizizuie hisia za ndani maana nikiongea apa itakua taabu
 
Hawa siwapendi kama nini na lain yao nlishatuoa zaman... niko zangu na halooooooootel
Tupo wote halotel nilitupa mpk laini ya airtel sh 500 najipatia 600mb kifurushi cha chuo....kwa sasa halotel powa I hope hawatatuchenjia haaaa
 
Voda dawa yako ungeza mke wa pili tu haloteliiiiiii8iiiiiiiiiiii,mpka waisome no
 
Mm nina lalamiko tena mna nikera sana lala miko la kwanza kunipigia cm ili nichague mziki wa anaye nipigia sitaki izo habari maana ni usumbufu kwangu

Lalamiko la pili ni kuwa laini nime weka kwenye cm ya vunja chawa ikiwa na maana kuwa haitumii bando ni sms na kupiga tu sasa mnacho nikera hapa ni kuwa naweka vocha niki chelewa kujiunga kifurushi cha kupiga mna nitumia msg za ajabu ajabu na kula hela yangu hamwoni kama ni wizi toeni iyo kitu kwangu sitaki sina hela za bure hapa mwenye nchi mna mwona mwenyewe ni tatizo kawa jiph
 
Back
Top Bottom