Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Jana tarehe 27 Juni 2014 nilideposit Shs 900,000/= to our CRDB account via MPESA na kupata confirmation from MPESA. Hadi asubihi ya tar 28 Juni 2014 bado nilikwa sijapokea confirmation ya pili toka CRDB Bank kuthibitisha fedha zimekuwa credited in my account. Confirmation hii ya pili pia hupitia though pur mobile phones.

Asubuhi ya taer 28 Juni 2014 nilipiga simu Vodacom Call centre kupitia Nao 15366 na kuzungumza na mtu aliyejitambulish kama ni Amani, nilimweleza shida yangu na yye akanitaka niendi CRDB kuuliza suala hilo. Niukamjibu kuwa mantiki nzima ya kutumia huduma za MPESA kudeposit m pesa ambapo tunakuwa chrged commision ni kupouguza safari za kwenda matawi ya CRDB.

Mwishowe alinijibu suala langu litashughulikiwa ndani ya masaa 24. Kuanzia wakati huo simu yangu No 0756604720 ikwa haipo hewani kila nikijaribu kupiga naambiwa simu yako imeondolewa.
 
Hapo tatizo sio wahudumu tatizo hiyo huduma unafanyikaje ?
 
tatizo ni Erolink, wanawatesa sana hao vijana, mshahara wa laki mbili kwa graduate si stress hizo? sasa tunaoumia ni sisi watumiaji wa huduma zao....
 
VODA COM WANA MATATIZO SANA SIKU HIZI.
hata mimi mara nyingi napata matatizo ya M-PESA ukiwapigia majibu yao sio mazuri.

kuna mchezo siku hizi wanaiba credits. mfano ukiweka vocha hata usipopiga simu ile vocha inakatwa!!!!!!!!!!!!!!! wakati huja jiunga na huduma yoyote ile. ukiwauliza wanakwambia mtandao umekata!!!! STUPID ANSWER.

mii nawaulizaga maswali wanashindwa kujibu.

1. simu yangu inatumia ineternet ndio. lakin ili pesa ikatwe lazima niwe nimechagua ni kifurushi gani nataka kutumia. handset haiwezi kukata credit. na ikikata credit inapeleka wapi? i mean iki debit huku ina credit wapi?

Halafu wahudumu hawana customer care speaking. ni kama mna ugomvi fulani wakati unataka kujua namna ya service zao.

lkn itafika wakati watakapo anza kuona wateja wanapungua ndio watajifunza.
mimi nilikuwa naweka angalao 1'000'000 kwenye M-Pesa kwaajili ya watoto shule na vijana wangu wa shambani na dukani ili nikiwa mbali niwe tatua matatizo hayo.
AMINI USUAMINI SASA KWENYE M-PESA NINA TSH. 55 TU. Kwaajili ya upuuzi wao. na sitaweka tene pesa kwenye M-PESA hadi watakapo jibu maswali kwanini wanachukua credits zangu bila mimi kujua? je huo sio wizi?
 
Voda wamekua wababaishaji sana kwanza huduma kwa wateja yenyewe unalipia halafu hupati majibu ya kile ulichouliza.
 
Wahudumu wanaokuhudumia wana uelewa Mdogo' simply because wamekalilishwa mambo na hawajaexperiance wenyewe!

Kukatwa salio lako sio paka ujiunge na vifurushi au uaccess Internet'' la hasha.. Sim nyingi za kisasa tunazotumia zina applications nyingi ambazo zinakuwa online mda wote bila wewe kujua hivyo zinakula hela.

Hivyo ni kazi yako kujua aina ya sim unayotumia' ili kujiepusha na matumizi ya vocha usiyokusudia.

Takupa mfano mmoja' mimi natumia iPhone' hii sim yangu nikiweka vocha ya tsh 1000' bila kujiunga na kifurushi chochote, wala sijapiga simu na bila kuaccess Internet' ndani ya lisaa limoja nikicheki balance nakuta 0.00!!

Hivyo ili kujiepusha na gharama hizo kama sijanunua kifurushi cha Internet naweka OFF CELLULAR DATA na 3G'' nikifanya hivyo haikatwi hata cent ya vocha yangu. Then nikitaka kuaccess net Nanunua kifurushi kwanza ndo naweka ON.

Kwa upande wa mleta uzi' swala la sim yako kuwa disconnected halina uhusiano wowote na mtoa huduma au callcenter!! Pia kama wewe ni mtumiaji wa hizo huduma unapaswa kuwa na namba ya callcenter ya CRDB BANK' ili unapopatwa na tatizo kama hilo ukipiga sim upande mmja wakikuambia wasiliana na upande wa pili unapiga sim na kupata muafaka wa tatizo lako. Kwasababu zinazofanya kazi ni system hivyo sometimes kudelay kupo. Au kabla ya yote ulipaswa kuangalia salio lako la bank' maana kuna mda unaweza usipate ujumbe wa uthibitisho lakini ukicheck salio unaona limeongezeka..

Mwisho kwa telecommunications industry TZ Voda ndio kampuni yenye huduma nzuri Kwa wateja'' compered to other telecoms. Ingawa sio wazuri sana kivile lakini at least wanajitahidi.
 
Wakuu.,
Kwa wale mnaotumia NMB MOBILE kupitia vodacom jihadharini sana kwa sababu ukihamisha pesa kutoka au kwenda benki kupitia M PESA mtandao ni mbovu utakatwa pesa na haitafika kwa mlengwa
 
Hii Teknolojia wakuu bado changa sana nchi zetu.
Mie mambo ya huduma hizi za kuhamisha kwa mfumo wa sim na Bank bado kabisa sijashawishika.
 
Mimi nilikataa toka mwanzo kujiunga kwenye utaratibu huo wa uhamishaji fedha. Nilijua hapa nchini bado tuko katika hali ya chini kwenye e-transaction security...hatuna kitengo madhubuti cha kupapambana na cyber crime.
 
hii system ni majanga matupu..watu wameibiwa fedha zao sana toka jana pesa hazionekani
 
Back
Top Bottom